Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
Hawa Wacongo mboni wa kawaida sanaHawa Wakongo tu watatupa upinzani mkali
Hawa Wacongo mboni wa kawaida sanaHawa Wakongo tu watatupa upinzani mkali
Hawa hawafiki mbali km Burkina Faso yaan hata Burkina Faso wazuriWalianza kwa kasi nzuri sana, ila wamepoa
Congo DR wanafungwaKenya au DR Congo?
Ila hii mechi Kenya wanashinda washindwe wao tu wenyeweKenya wao wamekosa washambuliaji wazuri
Haionyeshi dalili za kushindaIla hii mechi Kenya wanashinda washindwe wao tu wenyewe
Mtanzania hajawahi kuzikubali juhudi za Mtanzania mwenzake. Lazima atafute kitu chochote kile cha kuunderstimate hayo mafanikio.Tukumbuke tu Kwa Burkinafaso hii ni timu C ya taifa wakati kwetu ndio timu ya kupambana na akina Hakimi
Wamejazwa upepo wachezaji wanajua wakishinda tu hapo kila mmoja ana 1M oyaa wanacheza kufa kupona😃😃😃 ngoja tuone
Upo sahihi sana mkuu wabongo baadhi wana itikadi fulani za uchawi uliochanganyika na ushirikina ndio km huyo hapo, kiufupi unaweza ukamuita mwanga au mchawiMtanzania hajawahi kuzikubali juhudi za Mtanzania mwenzake. Lazima atafute kitu chochote kile cha kuunderstimate hayo mafanikio.
Wamewekewa Million 1 za Kenya kila Mchezaji wakishinda kila mechi kila Mchezaji anakula 1 Million za KenyaHaionyeshi dalili za kushinda