DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Quality ndugu yangu. Inaonyesha Algeria walidharau game ila walishtushwa na goli la Guinea. Walivyoamua kutulia kurudisha goli ilikuwa suala la muda tu. Ila Guinea wana wachezaji wenye vipaji ila nadhani uzoefu unawa cost na inaonyesha wamechoka.Wanauzi sana
Hawa Wa Guinea