Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Wanauzi sana
Hawa Wa Guinea
Quality ndugu yangu. Inaonyesha Algeria walidharau game ila walishtushwa na goli la Guinea. Walivyoamua kutulia kurudisha goli ilikuwa suala la muda tu. Ila Guinea wana wachezaji wenye vipaji ila nadhani uzoefu unawa cost na inaonyesha wamechoka.
 
Utashangaa inaisha 2-1
Naona Algeria wameridhika na draw, inaonyesha inawatosha. Wasipochukua hili kombe wajilaumu wenyewe, wana wachezaji wenye quality na uzoefu kuliko timu yoyote ile kwenye haya mashindano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…