Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Madagascar akishinda wanakuwa sawa na Mauritania vigezo vitakuwa magoli ya kufungwa na kufunga au....

 
Madagascar akishinda wanakuwa sawa na Mauritania vigezo vitakuwa magoli ya kufungwa na kufunga au....

View attachment 3442713
Hapana wanaanza kuangalia head to head mlivyo/mnavyo kutana nani alifunga mwenzake.

Na Kama mlisare/mtasasare Hapo ndo wanaangalia goli diferrence
Hapo mmoja anatakiwa ashinde kivyovyote vile na sio vinginevyo
 
Ila kuangalia game ground unyama sana sema ni uvivu flani wa ktz na mazoea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…