Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Hakuna mtu atakayeomba akutane na Morocco
Waarabu wagumu mno wakuu Kuwaondoa morocco mashindanoni mpaka ufie uwanjani
 
Hawa wapinzani wetu wote sijui tutamuweza yupi maana Kenya wana mpira wa kasi kwa wale viungo wetu kutakua na kuna kadi nyekundu. Morocco ni tatizo jingine. DRC angalau lakini sio wa kuwachukulia poa kabsa, wanasumbua balaa. Yule Kitambala Bora wa Azam ni hatari fire. Siidharau Taifa Stars ila ukweli usemwe, tumekutana na wapinzani dhaifu sana kwenye kundi letu. Unganda na Kenya wamepata changamoto sahihi kabsa kwenye makundi yao.
 
Hawa wapinzani wetu wote sijui tutamuweza yupi maana Kenya wana mpira wa kasi kwa wale viungo wetu kutakua na kuna kadi nyekundu. Morocco ni tatizo jingine. DRC angalau lakini sio wa kuwachukulia poa kabsa, wanasumbua balaa. Yule Kitambala Bora wa Azam ni hatari fire 🔥
Tukipita hii robo, tunachukua kombe 🤣
 
Hawa wapinzani wetu wote sijui tutamuweza yupi maana Kenya wana mpira wa kasi kwa wale viungo wetu kutakua na kuna kadi nyekundu. Morocco ni tatizo jingine. DRC angalau lakini sio wa kuwachukulia poa kabsa, wanasumbua balaa. Yule Kitambala Bora wa Azam ni hatari fire. Siidharau Taifa Stars ila ukweli usemwe, tumekutana na wapinzani dhaifu sana kwenye kundi letu. Unganda na Kenya wamepata changamoto sahihi kabsa kwenye makundi yao.
Mimi naona kama Kenya na DRC tunaweza kuwafunga sisi nao hatuko vibaya sana kwa level ya hizi timu mbili
 
Tujiandae na Mwarabu sasa, Kenya wabishi sana kusawazishiwa. Hii game washashinda. Yule kocha wetu anaitwa Mmorocco atakutana na WaMorocco wenyewe original sasa. Remember the name "Oussama Lamlioui"
 
1000072737.jpg
 
T ujiandae na Mwarabu sasa, Kenya wabishi sana kusawazishiwa. Hii game washashinda. Yule kocha wetu anaitwa Mmorocco atakutana na WaMorocco wenyewe original sasa. Remember the name "Oussama Lamlioui"
Kocha Morocco akifanya tukapita kwa hawa Waarabu ntamuheshimu kuanzia siku hiyo najua na yeye akiona haya matokeo mavi yanapita maana anaona kabisa kwa huyu Mwarabu nikichomoka mimi mchawi
 
Back
Top Bottom