Sijui labdaAmeenda kwenye matibabu ama??
Kipa kamaliza mchezoTatizo ni huyu kipa wao Utulivu hana kabisa atafungwa sana na kugharimu timu huyu fala
Mtu kapimiwa vizuri kabisa paleCome back ya hatari
Hatari ile mwanawane ila kipa fala kweliBalaa imebound
Huyu alionekana toka first half.Kipa wa Ug. ana mawenge