ImechanganyikiwaHii live score vipi View attachment 3445596tena au mimi naangalia marudio
Waziri wa michezoAnatazama boli 😀
Sana anatakiwa kupumzikaNi bibi kweli kweli
KumbeeWaziri wa michezo
Kabisa naona wanafukuziwa kimya kimya hapaWanatakiwa kutulia
Mzee apambane na Hali yake japo nasikia amesafiriYuko uwanjani, nani anamkumbatia mzee?
Au hawa ni wale wanaoajiri vibinti kwa ajili ya mzee