Wenzetu ni wazalendo wa kweli kwa nchi zao.Goli likifungwa linakuwa ni mafanikio ya samia na serikali ya CCM 🤣🤣🤣🤣
Sure 100%Wenzetu ni wazalendo wa kweli kwa nchi zao.
Kenya na Uganda wao hata kwenye maandamano huwa wanatoka wote.
Na kwenye ball hivyo hivyo wanauzalendo wa kweli, achana na sisi tumejawa na ujinga na uoga
Umeonae, yaani Kenya na Uganda wametupa somoChumaaaaa
Daah kweli kuna nguvu kubwa kwenye mashabiki kwenye mpira, Wa TZ na sisi tuujaze uwanja
Wamedharau.Halafu hii RSA Mbona hiki kikosi sio kile tulichokizoea cha akina Mokoena,
Au wamepumzisha wachezaji kwa ajili ya AFCON Naona kama kinawaramba na safari yao inatamatika hapa kwa hivi vibeki uchwara
Exactly 💯Uganda wanatakiwa wawe makini na jinsi wanashikilia kamba