Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Dakika za mwanzo kabisa.
Morocco wanakosa goli la wazi kabisa.
 
Game gumu hili....Ila madagascar wana spirit flan ya kutokata tamaa na wengi ni vijana wachanga so hawachoki...wanaweza chukua kombe leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…