πNgoja upewe ban πββοΈ
Si umeona ametulia.π
Dah!,jf kuna watu
Wewe jibu kombe linabaki wapi?Safi sana
Hapo nani anachukua kombe?Ondoa shaka
"Kwa Mkapa Hatoki Mtu"Wewe jibu kombe linabaki wapi?
Ni Ntu mkuu sema Ntu"Kwa Mkapa Hatoki Mtu"
hamchomoi game ata moja naona mkiburuza mkia kwenye kundi B
ππHuyo tena ndio ticha wao πππ
Kudeal na hii familia ya JF usipopiga hayo mambo hutoboi. ππππ
endelea kujipa matumani hewa.Sio rahisi tupoteze game ya ufunguzi
Umetisha mkuuNi Ntu mkuu sema Ntu
Kwani wanashiriki wao?Nazipenda timu za Afrika mashariki hasa Tanzania ila katika hili kombe nasimama na Tunisia na Cameroon.