Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Hii mechi ya Uganda inanipa kuamini kwamba Tanzania wengi wanaishi kwa hofu ya kukabwa njiani wanapo rudi home kwao hasa mechi za usiku. Hii pia inatoka picha ya insecurities zilizopo nchini. Kwanini watu HAWAJALI uwanjani usiku? Hofu yao ni ipi haswa?
Mzuka tu.
TP Mazembe walicheza hapa jioni tukajaa
 
  • Thanks
Reactions: x x
71'
Guinea 0
Uganda 2
Game On...
 
  • Thanks
Reactions: x x
Hapa nilishaona timu iliyoshinda round ya kwanza alafu round ya pili ikarusisha starting lineup ile ile ujue perfeomance inashuka.

Guinea ilishanda karudisha lineup ile ile leo analiwa kichw ana timu imecheza vibaya

Tanzania alirudisha timu ile ile performance mbovu

algeria nao wamerudisha timu ile ile...wametoa draw....

Hivyo makocha wanze kuangalia uwezekano waku rotate squad maana inaonesha performance ya timu inashuka. Recovery days ni chache
 
80'
Guinea 0
Uganda 2
Game On...
 
Back
Top Bottom