Uzi maalumu: Kijiwe cha Soga kwa waliowahi na wanaoendelea kukaa nje ya Tanzania

Kiukweli sijawahi kutoka nje ya Tanzania nimekuja tu kuweka comment yangu ila jaman ndugu zangu Kama Kuna michongo huko juu nisaidieni na Mimi nipate hata kazi huko maana huku bongo sio pazuri sana.elimu yangu ordinary diploma in hydrology and meterology.asante
 
We si unamshangilia Moudguful daily, na hapa kazi tuuu hahahahaa unatoroka kwenda wapi saza
 
Kwahiyo sis tunaoishi kenya kuna nafasi yetu hapa?
Nimeishi sana kericho, Nairobi eneo linaitwa Kayole, kule kuna kaanjoo kibao, ila wanapenda sana rushwa, wanaomba 500 ksh ni constant, nimezagaa Sana koinange kupata totoz kipindi sijaoa

Kwa hiyo Mkuu watoto wa University of Nairobi umewapitia sana???? Maana KOINANGE ndio mitaa yao ya kujiuza; haswa ikifika Ijumaa jioni.....
 
Inaonekana kwa jF unaongoza kwa safari wewe na Britannica
 
Kwahiyo sis tunaoishi kenya kuna nafasi yetu hapa?
Nimeishi sana kericho, Nairobi eneo linaitwa Kayole, kule kuna kaanjoo kibao, ila wanapenda sana rushwa, wanaomba 500 ksh ni constant, nimezagaa Sana koinange kupata totoz kipindi sijaoa
Kayole huko ndo Tandale ya Nairobi
 
Hapa tutapata mauzoefyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…