Kiparuanda
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,587
- 2,389
Ninao mkuu ngoja niuwekeNa Mimi Kuna Nyimbo Natafuta:
Ule Unaosema "...Adamu,Adamu Adamuu Mböa Umekula Wewe!Eva,Eva Evaaa,Mbona Umekula Wewe!
Ninazo zile original zote mkuu ila kuweka hapa kwenye jf ndo nashindwa nicheki whatsapp 0752220649 nikutumieHivyi zile original version inapatikana kweli sio hii iliyorudiwa
Na mimi mkuuNinazo zile original zote mkuu ila kuweka hapa kwenye jf ndo nashindwa nicheki whatsapp 0752220649 nikutumie
Mi ninazo album zake nzima ktk very high quality mkuu nicheki whatsapp 0752220649 nikutumie kwani ninajaribu kuweka jf nashindwaAtakaye sema mi nimchoyo ananionea hzo hapoo but naomba album zake nzimaaa
Zote ninazo, unataka video au audio?Kama kuna mtu ana nyimbo zifuatazo anisaidie
"ohooo lulu iko mbinguni"
"katika viumbe vyote vilivyoumba binadamu kaumbika kuliko vyote"
"malebo kakataa kuokoka"
Sikumbuki majina ya walioimba ni akina nani, kichwa changu memory yake ndogo ni 2GB na kimejaa kwa sasa, mnisamehe
Mkuu no yangu plz naomba unatumie mkuu wanguMi ninazo album zake nzima ktk very high quality mkuu nicheki whatsapp 0752220649 nikutumie kwani ninajaribu kuweka jf nashindwa
Nitafute kwenye whatsapp nitakutumia mkuuMkuu no yangu 0764798121 plz naomba unatumie mkuu wangu
Mkuu jaribu ku upload kwa kutumia Web browser kama chrome, Firefox au opera mini. Ukitumia jamii app inakubali upload ya documents may be na picha tu.Ninazo zile original zote mkuu ila kuweka hapa kwenye jf ndo nashindwa nicheki whatsapp 0752220649 nikutumie
CD"Kama una huzuni moyooni mwaambie yesu, mwaambie yesu msaidizi kweli huutapata mwingine mwaambie yesu ..."
Ntashukuru sanaNinao mkuu ngoja niuweke
Mkuu,nashukuru kwa kuujazia nyama uzi huu na pia nashukuru kwa kutoa wazo la Whatsapp!ila Ningeshauri tungeziweke hizo hapa pia kwa matumizi ya kesho!na vizazi vijavyo!Zote ninazo, unataka video au audio?
Jamani anaeweza aanzishe group la whatsup atupe link tuingie huko tutatuma na kupokea nyimbo kwa urahisi zaid
Nitafute kwenye whatsapp nitakutumia mkuu
Asante kwa Wazo zuri!Mkuu jaribu ku upload kwa kutumia Web browser kama chrome, Firefox au opera mini. Ukitumia jamii app inakubali upload ya documents may be na picha tu.
Imefanyaje Mkuu?
Ninazo nyingi sana, zitaje, niķipata nafasi nitaziwekaHebu wekeni na za Katoliki za enzi hizo..
Ya Martha MlataImefanyaje Mkuu?