Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

Kama kuna mtu ana nyimbo zifuatazo anisaidie
"ohooo lulu iko mbinguni"
"katika viumbe vyote vilivyoumba binadamu kaumbika kuliko vyote"
"malebo kakataa kuokoka"

Sikumbuki majina ya walioimba ni akina nani, kichwa changu memory yake ndogo ni 2GB na kimejaa kwa sasa, mnisamehe
Zote ninazo, unataka video au audio?
 
Jamani anaeweza aanzishe group la whatsup atupe link tuingie huko tutatuma na kupokea nyimbo kwa urahisi zaid
 
Ninazo zile original zote mkuu ila kuweka hapa kwenye jf ndo nashindwa nicheki whatsapp 0752220649 nikutumie
Mkuu jaribu ku upload kwa kutumia Web browser kama chrome, Firefox au opera mini. Ukitumia jamii app inakubali upload ya documents may be na picha tu.
 
Zote ninazo, unataka video au audio?
Mkuu,nashukuru kwa kuujazia nyama uzi huu na pia nashukuru kwa kutoa wazo la Whatsapp!ila Ningeshauri tungeziweke hizo hapa pia kwa matumizi ya kesho!na vizazi vijavyo!
Jamani anaeweza aanzishe group la whatsup atupe link tuingie huko tutatuma na kupokea nyimbo kwa urahisi zaid
Nitafute kwenye whatsapp nitakutumia mkuu
Mkuu jaribu ku upload kwa kutumia Web browser kama chrome, Firefox au opera mini. Ukitumia jamii app inakubali upload ya documents may be na picha tu.
Asante kwa Wazo zuri!
 
Asante mtoa uzi huu. Na pia kwa upande wangu natafuta nyimbo za albamu walioimba wa-South Africa, CHILDREN OF GOD Feat BRENDA AND CHICCO.
 
Mwenye wimbo unaitwa Tazameni Meza ya Bwana, naomba anipatie
 
Nitapata wapi nyimbo za Martha Mlata . ..za 2005?
 
Back
Top Bottom