Ni kweli ila ukitaka pia kuvuta uwepo zaidi...imba kwa kumaanisha zile za kuabudu.Barikiwa pia mpendwa. Kwenye hizi nyimbo unajikuta umezama kabisaaa
We mtoto wa jana nyimbo hizi ulizijulia wapi?Fahari ya vijana, ni ..........
Fahari ya wazee, ni kichwa chenye mvi
Fahari ya moyo wangu, ni kuyatenda mapenzi yake Mungu
Za kuabudu + tenzi za rohoni, unahisi unapaaNi kweli ila ukitaka pia kuvuta uwepo zaidi...imba kwa kumaanisha zile za kuabudu.
Ha ha ha mie nimeangalia "sungura mjanja", sio cartoonWe mtoto wa jana nyimbo hizi ulizijulia wapi?
Kumbe unajua raha yake...!!! Hasa ukiimba mahali palipotulia alone.Za kuabudu + tenzi za rohoni, unahisi unapaa
Mnoooo, acha tuKumbe unajua raha yake...!!! Hasa ukiimba mahali palipotulia alone.
Emali town choir Mombasa na mwingine Imani yake Petero wanajua sana wale ninazo mkuu incase unazihitajiNimebalikiwa sana na uzi huu, big up sana uliyeanzisha uzi huu,
kuna wimbo mmoja wa zamani nadhani uliimbwa na Wakenya kama sikosei, nakumbuka title ya wimbo ilikuwa "umejivalia ngozi ya kondoo kumbe ndani ni mbwa mwitu" kama kuna mtu anao naomba atupie hapa.
Kinondoni revival choir"Kwa nini wataka kujiua wewe
Inavyoonesha, umeshakata tamaa. ..
Sikumbuki unavyoendelea wala waimbaji mwee
AhsanteeeKinondoni revival choir
Siku ya kufa kwangu yake Ngosso bila shaka ninayo hata hiyo sodoma ni yake ila sina kama unaihitaji nipmKama naweza kuzipata hizi
# hapana rafiki kama yesu by mwakitalu
[HASHTAG]#Martin[/HASHTAG] Gondwe
-Neno lake mungu
-Siku ya kufa kwangu
-Sodoma na Gomora
[HASHTAG]#Gwinamila[/HASHTAG]
Ni nani huyo kama kondoo aongozwaye kwenda machinjoninatafuta sana sana nyimbo za mlandege na kihesa kwaya zilivuma sana 90z
Ingia whatsup mtext yohana kilimba namba yake ipo kwenye Uzi huu alafu yeye atakuadd kwa groupMimi nimeshindwa kujiunga maana whatsapp natumia laptop, sasa nimeshindwa kuscan ile QR code...
Aisee mtumishi ukiparaphrase hivi moyo unaumia sababu sina hizi nilipotezaga tape zake 1998 natafuta kweli hata kariakoo kwa ignasi sijazipata mwenye nazo anipe hata kuniuziaNi nani huyo kama kondoo aongozwaye kwenda machinjoni
Ni bwana Yesu mwana wa Mungu alitolewa awe Mwokozi wetu
Huyo mwana, aliteswa
Mwana wa Mungu
Atuokoe
Sisi wenye dhambi
Victory Singers Kinondoni pale jirani na Biafra walikuwa vizuri na nyingine iliitwa televisheni ya maishaMkuu bado cjaona ule wimbo mchaka mchaka mkimbilie Yesu,