Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

Wakuuu kama kuna MTU ana nyimbo za kwaya ya SHANGILIENI PART 2 naomba atupie bas
 
Jamani hizi za mzitupie kwa hiyo group la whatssap na kama za tenzi mnazo pia msisite kushare nasi
 
Nimebalikiwa sana na uzi huu, big up sana uliyeanzisha uzi huu,
kuna wimbo mmoja wa zamani nadhani uliimbwa na Wakenya kama sikosei, nakumbuka title ya wimbo ilikuwa "umejivalia ngozi ya kondoo kumbe ndani ni mbwa mwitu" kama kuna mtu anao naomba atupie hapa.
Emali town choir Mombasa na mwingine Imani yake Petero wanajua sana wale ninazo mkuu incase unazihitaji
 
Kama naweza kuzipata hizi
# hapana rafiki kama yesu by mwakitalu
[HASHTAG]#Martin[/HASHTAG] Gondwe
-Neno lake mungu
-Siku ya kufa kwangu
-Sodoma na Gomora
[HASHTAG]#Gwinamila[/HASHTAG]
Siku ya kufa kwangu yake Ngosso bila shaka ninayo hata hiyo sodoma ni yake ila sina kama unaihitaji nipm
 
natafuta sana sana nyimbo za mlandege na kihesa kwaya zilivuma sana 90z
Ni nani huyo kama kondoo aongozwaye kwenda machinjoni
Ni bwana Yesu mwana wa Mungu alitolewa awe Mwokozi wetu

Huyo mwana, aliteswa
Mwana wa Mungu
Atuokoe
Sisi wenye dhambi
 
Ni nani huyo kama kondoo aongozwaye kwenda machinjoni
Ni bwana Yesu mwana wa Mungu alitolewa awe Mwokozi wetu

Huyo mwana, aliteswa
Mwana wa Mungu
Atuokoe
Sisi wenye dhambi
Aisee mtumishi ukiparaphrase hivi moyo unaumia sababu sina hizi nilipotezaga tape zake 1998 natafuta kweli hata kariakoo kwa ignasi sijazipata mwenye nazo anipe hata kuniuzia
 
Back
Top Bottom