Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,105
- 5,629
- Thread starter
-
- #461
Nimebarikiwa usiku huu na hii jf na watu wake kupitia humu namtukuza Mungu
Kama kuna mtu ana nyimbo zifuatazo anisaidie
"ohooo lulu iko mbinguni"
"katika viumbe vyote vilivyoumba binadamu kaumbika kuliko vyote"
"malebo kakataa kuokoka"
Sikumbuki majina ya walioimba ni akina nani, kichwa changu memory yake ndogo ni 2GB na kimejaa kwa sasa, mnisamehe
Hahaaha hili gari naliona mpaka leo na jamaa yupo mtaa niliokulia ArushaNimeangalia sana nikiwa mdogo
Halafu kulikuwa na lile gari la "SINEMA LEO" la Arusha walikuwa wanatuletea nayo hizi filamu shuleni.
Nami nawatafuta sana haoJamani kuna kwaya moja inaitwa kilimanjaro revival choir
Nadhani ya mwaka 99
Nami nawatafuta sana hao
Natafuta nyimbo za New Life Band ya Arusha. Albamu yao moja ilikuwa na nyimbo kama Ainuliwe Mungu wetu leo, kuna makao mazuri sana .....
Asante mkuuFika Kimahama ,Pale Arusha mjini karibu na Stadiamu utawapata na nyimbo zote
Kaka au Dada ubarikiwe sana Mimi mkibosho Wa Mango Nashukuru sanaIpo Moshi Pale mjini,Hilo kanisa lina kwaya nzuri sana mbili,Moja Faraja Kwaya na Revival.
Hawa wana nyimbo hatari sana,wananukuu maandiko sana alafu wana upako mpaka unaona Mbingu zimeshuka loh!
Nyimbo za faraja kwaya:
1-Wewe unafanya nini
2-Eh Mungu Baba
Revival
1:Agape
2:-Ewe msafiri
Pia wana Praise team ya kwanza iliazishwaga mwaka 2007 na Kina jamaa mmoja sjui Vikta na Chaki ,Noel walikuwa wanaimba poa sana skuizi sijui wapo wapi bhana!
Mkuu yaani nina nyimbo zote kutoka hii albamu ya mzabibuNa Mimi Kuna Nyimbo Natafuta:
Ule Unaosema "...Adamu,Adamu Adamuu Mböa Umekula Wewe!Eva,Eva Evaaa,Mbona Umekula Wewe!
Mpagani[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Aisee! Hizi nyimbo zilikuwa murua haswaaaaa.....!!!!