Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

Kama kuna mtu ana nyimbo zifuatazo anisaidie
"ohooo lulu iko mbinguni"
"katika viumbe vyote vilivyoumba binadamu kaumbika kuliko vyote"
"malebo kakataa kuokoka"

Sikumbuki majina ya walioimba ni akina nani, kichwa changu memory yake ndogo ni 2GB na kimejaa kwa sasa, mnisamehe

Kwenye eneo hilo nililopigia mstari; kama una maanisha kuwa na tatizo la kusahau basi huo ni ugonjwa.

Upo Ugonjwa wa kusahau nauita Memory Index Loss ni tatizo kama yalivyo matatizo mengine ya kiafya. Nikiwa na muda nitakuja kudadavua zaidi.

Muhimu ni kuwa ipo dawa au ninaweza kufanya upatikanaji wa dawa nzuri na iliyothibishwa na TFDA na ipo hapa nchini kwa ajiri ya kujibu Tatizo la kumbukumbu.


Ni dawa ya mtishamba toka Korea na ipo katika mfumo wa vidonge hivyo ni rahisi kumezeka inaitwa Cerebrain.
Nikikuchanganyia na Pure & Broken, BetterSorb; ah ! mwanawane unarudi kuwa mkali ile mbaya. Hizo zingine nakuchanganyia ili kuua visababishi na kuurudisha mwili wako kiasili zaidi hata kama umri umeenda.
cerebrain.jpg


Kama utapenda na kubarikiwa na habari hii; nitwangiage du ili uzipate popote ulipo hata kama ni mashambani, zitafika.

Namba ni 0768441304 / 0786187408 au email: johnselcius.js@gmail.com.
Pole na Karibu.
 
Jamani una hii kwaya inaitwa MABALOZI WA YESU, nilipata kusikiliza Albam yao (nafikiri ilikuwa ya Kwanza) inaitwa NUCLEAR miaka ya nyuma sana. Nina hakika wengine mpo mliopata kuisikia pia na yawezekana wengine hii ni kwaya ya kwenu. Leo nimepata baadhi ya nyimbo zake kwenye link hii (youtube):



Kwa wale wanaoifahamu naomba mnisaidie kupata nyimbo nyingine ambazo hazipo kwenye clip hii kwa mfano
  1. Uzima wako (ambao umesikika ukiimbwa beti 2 za mwisho, audio baada ya wimbo wa mwisho)
  2. Wekeni hazina
  3. Neno la msalaba
  4. etc...
Note: Video inaelekea ni ya hivi karibuni kuliko umri halisi wa nyimbo hizi. Upo uwezekano kuwa waliohusika katika vide, wengine walikuwa hawajazaliwa au walikuwa watoto wadogo sana wakati nyimbo hizi zinaimbwa na kurekodiwa kwa mara ya kwanza kwenye mkanda wa kaseti (Audio tape)

Natanguliza shukrani.
 
Nami nawatafuta sana hao

Ipo Moshi Pale mjini,Hilo kanisa lina kwaya nzuri sana mbili,Moja Faraja Kwaya na Revival.

Hawa wana nyimbo hatari sana,wananukuu maandiko sana alafu wana upako mpaka unaona Mbingu zimeshuka loh!

Nyimbo za faraja kwaya:
1-Wewe unafanya nini
2-Eh Mungu Baba

Revival
1:Agape
2:-Ewe msafiri

Pia wana Praise team ya kwanza iliazishwaga mwaka 2007 na Kina jamaa mmoja sjui Vikta na Chaki ,Noel walikuwa wanaimba poa sana skuizi sijui wapo wapi bhana!
 
Ipo Moshi Pale mjini,Hilo kanisa lina kwaya nzuri sana mbili,Moja Faraja Kwaya na Revival.

Hawa wana nyimbo hatari sana,wananukuu maandiko sana alafu wana upako mpaka unaona Mbingu zimeshuka loh!

Nyimbo za faraja kwaya:
1-Wewe unafanya nini
2-Eh Mungu Baba

Revival
1:Agape
2:-Ewe msafiri

Pia wana Praise team ya kwanza iliazishwaga mwaka 2007 na Kina jamaa mmoja sjui Vikta na Chaki ,Noel walikuwa wanaimba poa sana skuizi sijui wapo wapi bhana!
Kaka au Dada ubarikiwe sana Mimi mkibosho Wa Mango Nashukuru sana
 
Wadau wa nyimbo za dini za jamani nimewahi kuuliza hawa jamaa wa Upendo Group mbona siku hizi siwasikii. Wamekwenda wapi hawa jamaa. Please mwenye kujua naomba nifahamishwe. Nyimbo zao nimekuwa nikizipenda sana kuzifuatilia lakini siku hizi hawasikiki sasa sijui walivunja group ama imekuweje please mwenye kujua walipo naombeni mnijuze.
 
Back
Top Bottom