Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

Kunyatanyata
Bam ba baaa bam baaaa
Peace Murucjuiyupowapi huyumwanamama?
 
Ukizipata mkuu nishtue
 
Wakuu poleni na majukumu…..kuna hii albamu ya kijitonyama choir kabla hawajagawanyika ina nyimbo kama….
1. namtafuta bwana
2. anipenda bwana yesu
3. masia wanyi
4. simba wa yuda
5. shauri yako
6. hakuna mungu kama wewe na
7. bwana ndiye mchungaji wangu
Je naweza pata nyimbo za hii album? kipindi hicho zilikuwa katika mfumo wa kwenye tape….Sina uhakika kama zinapatikana katika mfumo wa kisasa but nazitafuta sana bila mafanikio na bado nina shida nazo sana…...msaada plz
 
kuna kanda ilikuwa imechorwa 500 ya karatasi kwa juu inawimbo umeandikwa pesa atakae pata nyimbo zake Nampa soda
 
hahaha,kweli mkuu mimi ndio kumbukumbu ambayo nikiskiza nakumbuka vitu mama alikua anafanya enzi za uhai wake (R.I.P)
Salama wandungu zangu nahitaji mtu yeyote yule anipe nyimbo za kyande ask zinazosema kumaliza kilio album yake ya kwanza asanteni
 
kuna kanda ilikuwa imechorwa 500 ya karatasi kwa juu inawimbo umeandikwa pesa atakae pata nyimbo zake Nampa soda
Hiyo itakuwa iliimbwa na vijana wa Jerusalem Temple Mbeya, long time sana du! Wadau mimi natafuta nyimbo za mwimbaji mmoja wa Kenye ambaye jina lake ni kama "Ole Shaibu" sin uhakika ni siku nyingi. Alivuma miaka ya 90 pamoja na akina Shari Martin. Wimbo wake mmoja una maneno haya: "Penda usipopenda we, Yesu mwana wa Mungu, aokoa kabisa, aponya kabisa, anawezaa yotee". Naomba msaada nimetafuta sana Youtube kila mahali sioni
 
Natafuta nyimbo ambazo zilikuwa kwenye kanda ya zamani title ilikuwa "Ulimi ni Sumu".
Baadhi ya nyimbo zilizokwemo kwenye tape hiyo ni.
1. Ulimi ni sumu
2. Yonah
3. Msifadhaike mioyoni
4. Kaini na Abel
NK..
natafuta audio hizo hata kama utaibadirisha tape kuwa dijito ntashukuru sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naombeni Kama yupo mwenye nyimbo za kwaya ya Shangwe Amani Sngers album yao inayoitwa Wana Simba Hutindikiwa atuwekee hapa. Natanguliza shukrani.
 
naomba mwenye nyimbo za upendo ni amri ya bwana kanisa katoliki arusha na musa kaona maono shangilieni au st james arusha(sina uhakika){baadhi ya mashairi "musa kaona maono,maono makubwa,kaona kijiti kikiwaka lakini kiteketei...hapo ndipo musa aliposema nitasimama nione maono haya"...}
 
Habari ...kuna nyimbo nazitafuta sijui jina ya alieimba wala album ila nakumbuka badhi ya maneno yake kuna mmoja ( eee yesu nilikuita ukaitika ukaniponya unyonge wangu... shidani matatizoni ulinitoa ukanifanya mtoto wako oo " colasi ee bwana yesu asantee kwa ukarimu wako kwangu nitakusifu daima fadhili zako za milele
Wa 2 ni ...(bwana akiwaweka huru mtakuwa huru kweli kweli furaha ndani yake na amani ndani yake ) nakumbuka hicho kipande tu please please mwenye anamjua naomba
 
Habari wandugu, natafuta Album ya Kijitonyama Upendo Group inayoitwa Maisha yako, madame Hasa Kama kuna mpendwa anao wimbo huu wa Maisha yako nauhitaji kwa whatsapp 0717246284 Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…