Public Enemy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2011
- 3,029
- 3,520
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukizipata mkuu nishtueNatafuta nyimbo ambazo zilikuwa kwenye kanda ya zamani title ilikuwa "Ulimi ni Sumu".
Baadhi ya nyimbo zilizokwemo kwenye tape hiyo ni.
1. Ulimi ni sumu
2. Yonah
3. Msifadhaike mioyoni
4. Kaini na Abel
NK..
natafuta audio hizo hata kama utaibadirisha tape kuwa dijito ntashukuru sana.
Salama wandungu zangu nahitaji mtu yeyote yule anipe nyimbo za kyande ask zinazosema kumaliza kilio album yake ya kwanza asantenihahaha,kweli mkuu mimi ndio kumbukumbu ambayo nikiskiza nakumbuka vitu mama alikua anafanya enzi za uhai wake (R.I.P)
Salama wakuu nami nahitaji nyimbo za kyande zinazo kuwa na albam kumaliza kilio asanteniBwana Mungu asema
Hiyo itakuwa iliimbwa na vijana wa Jerusalem Temple Mbeya, long time sana du! Wadau mimi natafuta nyimbo za mwimbaji mmoja wa Kenye ambaye jina lake ni kama "Ole Shaibu" sin uhakika ni siku nyingi. Alivuma miaka ya 90 pamoja na akina Shari Martin. Wimbo wake mmoja una maneno haya: "Penda usipopenda we, Yesu mwana wa Mungu, aokoa kabisa, aponya kabisa, anawezaa yotee". Naomba msaada nimetafuta sana Youtube kila mahali sionikuna kanda ilikuwa imechorwa 500 ya karatasi kwa juu inawimbo umeandikwa pesa atakae pata nyimbo zake Nampa soda
Asante sanaUlyankulu mmoja wao wanasheria
Ulyankulu mmoja wao wanasheria