Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

Wakuu,
Ninawiwa Kuhuanzisha Uzi Huu Ili Kuwaleta Karibu Wapenzi wa Nyimbo Za Injili za Zamani!
From the 80s,90s and the Early 2000s!
Kuanzia Barabara 13,Aict Shinyanga,Kijitonyama Upendo Group,Na N.k!
Naoma Tubadlshane Audios,Videos na Picha Waimbaji wa Zamani!
Old is Gold!
Naomba ndugu kama utakuwa na wimbo wa nitamwandama bwana wa mabibo kwaya, ni ule original sio remix iliyofanywa na vijana
 
kuna ALBUM naitafuta sijui iliimbwa na kwaya gani. ndani yake kuna nyimbo: HII NI SIKU YAKO (CHAGUA NJIA MOJA), DUNIA IMEKWISHA, NYOTA YA MASHARIKI (BETHLEHEMU?) wimbo uliobeba albamu ni DUNIA IMEKWISHA. yeyote anayeweza kunisaidia kuipata naomba afanye hivyo. mbarikiwe
 
Hizi nyimbo unazipata ukizihitaji. Anauza. Na yule mwenzie sikumbuki alikuwa anaitwa nani walitoa volume tu. Ina wimbo "Nashangaa sana kuona watu, wanasema kwamba Mungu hayupo....."


Nisaidie kujua huyu mwimbaji yupo wapi na pia kupata audio au video zake.
Anaitwa Nathanael Hingi. Mojawapo ya kazi zake za miaka ya 90 ni hii hapa kaseti yake.

View attachment 437519
 
Huu wimbo nimeusikiliza sana nikiwa chaliii kwenye radio ya cassette

nilikua sielewi hata maana yake wala point ya msingi ya wimbo ila dada

angu alikua tu akiupenda sana,sasa hv nikiusikiliza ndio naelewa kwann

sista alikua akiupenda na kuupiga kila saa,n moja ya nyimbo zangu pendwa kbsa

Shari martin - Rafiki pesa


 
Jamani nautafuta kweli wimbo wa kwaya kuu ya kkkt msasani nadhani unaitwa ANZA SIKU
 
Kuna album moja ya kwaya ambayo kwenye cassette yake kulikuwa na picha ya kifaru cha vita....nimeisahau jina...kama kuna mtu atakuwa anaikumbuka ile cassette na jina lake atabarikiwa sana
 
Tumaini Choir Arusha. RHM watakuwa wanaikumbuka jina.

Kuna album moja ya kwaya ambayo kwenye cassette yake kulikuwa na picha ya kifaru cha vita....nimeisahau jina...kama kuna mtu atakuwa anaikumbuka ile cassette na jina lake atabarikiwa sana
 
Tumaini Choir Arusha. RHM watakuwa wanaikumbuka jina.
Yes....nakumbuka ilikuwa ni kwaya ya Arusha, enzi hizo tuko Tabora miaka hiyo inapigwa kwenye Radio tunakusanyika watoto wote pembeni hapo ! Mungu akubariki mkuu, mpaka hapa umenikumbusha pakubwa....nitaipata
 
Kuna kwaya moja ya 90's ilikua Arusha inajiita HURU SINGERS naskia walikua madada wa kizungu. Wana vibao vyao vya kiroho kama JINA LA YESU, HAKUNA MUNGU KAMA WEWE, ROHO MTAKATIFU, DAMU YA YESU na nyingine kibao. Atae vipata jamani anisaidie.
 
Back
Top Bottom