Kapumpuli
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,040
- 2,674
Kaminula ChoirKuna kwaya moja hivi ilishika sana ilikuwa ikiitwa kamenyula kama ntakuwa sijakosea spelling.
Naweza kupata album yao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaminula ChoirKuna kwaya moja hivi ilishika sana ilikuwa ikiitwa kamenyula kama ntakuwa sijakosea spelling.
Naweza kupata album yao?
Naomba ndugu kama utakuwa na wimbo wa nitamwandama bwana wa mabibo kwaya, ni ule original sio remix iliyofanywa na vijanaWakuu,
Ninawiwa Kuhuanzisha Uzi Huu Ili Kuwaleta Karibu Wapenzi wa Nyimbo Za Injili za Zamani!
From the 80s,90s and the Early 2000s!
Kuanzia Barabara 13,Aict Shinyanga,Kijitonyama Upendo Group,Na N.k!
Naoma Tubadlshane Audios,Videos na Picha Waimbaji wa Zamani!
Old is Gold!
Nisaidie kujua huyu mwimbaji yupo wapi na pia kupata audio au video zake.
Anaitwa Nathanael Hingi. Mojawapo ya kazi zake za miaka ya 90 ni hii hapa kaseti yake.
View attachment 437519
Salama wakuu nami nahitaji nyimbo za kyande zinazo kuwa na albam kumaliza kilio asanteni
Jamani nautafuta kweli wimbo wa kwaya kuu ya kkkt msasani nadhani unaitwa ANZA SIKU
Kuna album moja ya kwaya ambayo kwenye cassette yake kulikuwa na picha ya kifaru cha vita....nimeisahau jina...kama kuna mtu atakuwa anaikumbuka ile cassette na jina lake atabarikiwa sana
Tumaini Choir Arusha. RHM watakuwa wanaikumbuka jina.
Yes....nakumbuka ilikuwa ni kwaya ya Arusha, enzi hizo tuko Tabora miaka hiyo inapigwa kwenye Radio tunakusanyika watoto wote pembeni hapo ! Mungu akubariki mkuu, mpaka hapa umenikumbusha pakubwa....nitaipataTumaini Choir Arusha. RHM watakuwa wanaikumbuka jina.
Nimeipata mzee.... NAKULILIA YEHOVANasubiria baraka zangu. Nipo standby hapa.
Mkuu una huo wimbo wa anza siku wa kwaya kuu msasani kkkt?Sawa, haina shida ukiwa free tujulishe.
Wakuuu kama kuna MTU ana nyimbo za kwaya ya SHANGILIENI PART 2 naomba atupie bas