Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,711
- 3,279
Naomba wimbo wa Kinondoni Menonnite choir wana kunyata uitwao
kazaliwa
kazaliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nisaidieni namna ya kupata Audio ya wimbo wa Paulo na sila waliomba. Nimetafta miaka sipatiUbarikiwe mtumishi
New life band nyimbo zao zipo youtube japo ni pic, sidhani miaka hiyo kama walibahatika kurekodi videoNashukuru kwa huo uchambuzi,hiyo band sidhani kama naipata kwakweli.
Old is gold.
Hilo ni pambio, kama yale pale kalivari yote yamekwisha.. huwezi pataNisaidieni namna ya kupata Audio ya wimbo wa Paulo na sila waliomba. Nimetafta miaka sipati
Wa Zambia wale, andika adonai Pentecostal singers, watakujaKuna album moja ya Adona Pentecostal Kibao Cha kwanza linaitwa SITASAHAU HURUMA ZA BWANA alafu Mwisho kabila ameimba sijui kikabila gani SHAKALABE
Ok. Nimekupata mkuu na ule wa safari ya wana wa israel nahisi uliimbwa na kkkt makongolosi chunya nilishawahi kuisikiliza mika hiyo kwenye zile kanda za zamani lakin kwa karne hii nautafta siupati. Pia katika album hiyo hiyo kuna wimbo unasema " NI NANI ANAEFANANA NA YESU". na pia kuna mwingine wanaimba kwamba ndege wa angani ifika ikifika jioni hurudi kwenye viota vyao. Hebu nisaidie ni album moja hiyoHilo ni pambio, kama yale pale kalivari yote yamekwisha.. huwezi pata
Mapigano ulyankulu (Mwenye mamlaka yote)
Safari yao .
Mkuu, shukrani sana kwa hizi nyimbo za Kwenye album ya "Unangoja nini".Wadau.. Majukumu yalibana, na mishe za Pasaka.. Nimemalizia mzigo
Hao ni kwaya ya mabiboJamani anayeujua ule wimbo unaimbwa something something tuzae matunda kama mbegu ya haradali unaitwaje?
Unaitwaje & kwaya ipi ya Mabibo?Hao ni kwaya ya mabibo
Aheu Mtumishi umefanya jambo jema kuleta uzi huu.
Kuna wimbo sikumbuki jina ila.ulikuwa unanibariki sana miaka ya kati ya tisini, baba alikuwa anaweka.kanda katika redio panasonic yake.huku mimi na ndugu zangu tukilima. Ulikuwa unamaneno haya!;
....haleluya sifa zote apewe Yesu Kristo mwokozi wa ulimwengu woteeeeee (then gitaa) uliona wapi shina la mbuyu likiyumbaaa.....
kama unaufahamu uweke hapa
Ipo Moshi Pale mjini,Hilo kanisa lina kwaya nzuri sana mbili,Moja Faraja Kwaya na Revival.
Hawa wana nyimbo hatari sana,wananukuu maandiko sana alafu wana upako mpaka unaona Mbingu zimeshuka loh!
Nyimbo za faraja kwaya:
1-Wewe unafanya nini
2-Eh Mungu Baba
Revival
1:Agape
2:-Ewe msafiri
Pia wana Praise team ya kwanza iliazishwaga mwaka 2007 na Kina jamaa mmoja sjui Vikta na Chaki ,Noel walikuwa wanaimba poa sana skuizi sijui wapo wapi bhana!
hiyo praise ya sas ni wanafunziwa MUCCOBS na KCMCWengine wameolewa, wengine waneshahama makanisa nilikuwa hapo Mwaka jana mwezi wa kumi ni sura ngeni na mpya tu ndo niliona kwa hiyo praise
hiyo praise ya sas ni wanafunziwa MUCCOBS na KCMC
Huu wimbo uliimbwa na kwaya ya kanisa la undugu, wako pale keko/chang'ombe maduka mawili...
Aisee.. ni wa zamani sana... nakumbuka kipindi hicho naabudu pale..
Sikumbuka kama albam yao ilikuwa inaitwaje!!
Dah, aisee wewe ni hatari sana, Huna namba yake...nahisi itakuwa hivyo, kipindi kile hadi wanafunzi wa veta walikuwa wanakuja kuabudu pia. Kuna mdada mmoja nambuka alikuwa pale praise mwembamba mweupe anavaa miwani yaan ilikuwa ikifika wiki yake hiyo asubuhi ataimba hadi unaona wachungaji wanafurahi. Mwaka jana sikumkuta niliuliza alipo nikaambiwa ameolewa na amehama kanisa