jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Tunahitaji Whatsapp groupUzi mzuri
Kabisa aisee .... Toa nambaTunahitaji Whatsapp group
Navumilia tuNaombeni nyimbo za
1-Mungu wangu mbona umeniacha ya katoliki kwaya
2-Navumilia by katoliki kwaya
3-Kwa nini wasimama mbali ya katoliki kwaya
Mè pia natafuta original melody sio zile za youtubeNaomba zile nyimbo za mabibo choir hasa nitamwandama bwana
Original audio sio zile zilizorudiwa
Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
.Barabara ya 13:
Neno la Bwana Likamjia Yona!
Unazijua hadi za Kinondoni Revival[emoji3]"Kwa nini wataka kujiua wewe
Inavyoonesha, umeshakata tamaa. ..
Sikumbuki unavyoendelea wala waimbaji mwee
Aah hivi enzi hizo si ulikuwa hujazaliwa?Unazijua hadi za Kinondoni Revival[emoji3]
Em ongezea maneno kidogo kama unaweza. Sijui ni huuKuna wimbo umeimbwa na kwaya ya uinjilisti Arusha mjini unaitwa eloi lamasabatani nauhitaji kama kuna mwenye nao tafadhali
Weeeh![emoji23][emoji23]Aah hivi enzi hizo si ulikuwa hujazaliwa?
Kaimba nack waimatha kitu kama hicho walikuwa wanapiga sana praise power radio unaanza hiviKuna nyimbo ya injili naitafuta..ya kiswahili..sijui nani ameimba..lyrics zake kwenye chorus ni "jehova nissi,jehova shalom..elio baba nakuabudu..jehova makaresh..jehova shama elishadai nakuinulia mikono juu"
Nisaidiane niupate wakuu.
Tuonane Paradiso... Ni wimbo nausikiliza kila nikimkumbuka Mzee wangu maana ulipigwa sana kwenye msibaWakuu,
Ninawiwa Kuhuanzisha Uzi Huu Ili Kuwaleta Karibu Wapenzi wa Nyimbo Za Injili za Zamani!
From the 80s,90s and the Early 2000s!
Kuanzia Barabara 13,Aict Shinyanga,Kijitonyama Upendo Group,Na N.k!
Naoma Tubadlshane Audios,Videos na Picha Waimbaji wa Zamani!
Old is Gold!