Waimbaji ni hao hao mkuu, wanaitwa Barabara ya 13 kama kumbukumbu zangu ziko sawa.Dah, old is gold aiseee.
Kuna ule mmoja una maneno, .....MVUA ILIANZA KUNYESHA BILA KUKATIKAAAAAAA......
Sijui ndo huo wa ktk viumbe vyote??!!!
Alafu kuna ule wa Samson: SAMSONI KWA KUMPENDA DELILAAAAA sijui nini na nini na nini........
barafuyamoto , hiyo ya mvua ilianza kunyesha bila kukatika hii hapaBarabara ya 13!
Enzi Zile Za Nuhu!
Mvua Ilianza Kunyesha Bila Kukatika,Waliogolewa Wote Wakafa kwa Majii!dah Old is Godamn Gold!
Nimekuja..
Nimeshauweka hapo Mkuu"Waimbaji ni hao hao mkuu, wanaitwa Barabara ya 13 kama kumbukumbu zangu ziko sawa.
Thank you so so much mkuu.barafuyamoto , hiyo ya mvua ilianza kunyesha bila kukatika hii hapa
Fanya hivi:Natumia smart phone ya halotel H8501
Nimeangalia sana nikiwa mdogoNilipokuwa mtoto nyumbani Casset za Sungura Mjanja zilizorekodiwa Habari Maalum Arusha ndio tulikuwa tunawekewa kila Jumapili....
Hapo ni jioni tumekula, tumeoga tumekaa ndo tunaekewa..
Azarel sungura mjanja haujaangalia..??
Watoto siku hizi wanaangalia CartoonNetwork tuu..
Na ku-upload nyimbo hapa inakuwaje maana nimetafuta sijaona kila nikiweka kwa kutumia attachment option inakuwa ipo faint na nafikiri ni kwa ajili ya docs.Fanya hivi:
a)Download Application ya Tubemate,halafu,tumia App hio kutafuta Video Zako Youtube!Uzuri Tubemate Ina Option ya Kudownload Video Kirahisi!
b)Nenda Youtube,Tafuta Halafu Angalia Link ya Hiyo Video!Tumia Opera Mini!
Mara Nyingi Link Zake Huwa Zimeandikwa Ìvi:"https//m.xyz1265.."
sasa fanya hivi, futa ile "m" halafu andika "9x" halafu reload page!
Unatumia gadget gani?Na ku-upload nyimbo hapa inakuwaje maana nimetafuta sijaona kila nikiweka kwa kutumia attachment option inakuwa ipo faint na nafikiri ni kwa ajili ya docs.
Pamoja Mkuu!Haya ndio mambo sasa!!
Unaburudika na kupata ujumbe barabara.
Ujumbe unaokufanya utafakari neno la Mungu.
Ubarikiwe mleta mada.
Una Wimbo Wowote Maarufu Unaoukumbuka?Kuna kwaya moja hivi ilishika sana ilikuwa ikiitwa kamenyula kama ntakuwa sijakosea spelling.
Naweza kupata album yao?
Umeuliza kuhusu Sedekia na RHM, ni kwamba Sedekia alishaimba na New Life Band, kama unawajua hawa vijana na band yao.Haya ndio mambo sasa!!
Unaburudika na kupata ujumbe barabara.
Ujumbe unaokufanya utafakari neno la Mungu.
Ubarikiwe mleta mada.