Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

Kuna nyimbo wameimba naioth prophet singers angukia mikononi mwa bwana.

Victoria singers nyimbo yoyote kwenye album ya Television ya maisha
 
Asee Yohana Kilimba sio mwili na damu vimekufunulia haya. Yaani hizi commercial kwaya sizipendi na nimekuwa na miss sana old kwaya
Mkuu,pamoja!narudia tena:Ukitaka Urukeruke na Utoka Jasho Basi Sikiliza the New School Gospel Hits na Hitters kama Rose Muhando na Wenziwe,ila Ukitaka Kubarikiwa,na Kuhisi Uwepo wa Mungu Basi Sikiliza the Old School Gospel Hits,kama Hizi Tunazoweza Weka Hapa JF!
 
Arusha Town Choir:
Kila Mtu na Mzigo Wake!

Aheu Mtumishi umefanya jambo jema kuleta uzi huu.

Kuna wimbo sikumbuki jina ila.ulikuwa unanibariki sana miaka ya kati ya tisini, baba alikuwa anaweka.kanda katika redio panasonic yake.huku mimi na ndugu zangu tukilima. Ulikuwa unamaneno haya!;

....haleluya sifa zote apewe Yesu Kristo mwokozi wa ulimwengu woteeeeee (then gitaa) uliona wapi shina la mbuyu likiyumbaaa.....

kama unaufahamu uweke hapa
 
Mkuu,acha nipekuepekue kwenye makabrasha ya mjomba yangu,nikaipata nitaiweka hapa!nikishindwa wadau wengine watasaidia!
 
Wakuu,
Ninawiwa Kuhuanzisha Uzi Huu Ili Kuwaleta Karibu Wapenzi wa Nyimbo Za Injili za Zamani!
From the 80s,90s and the Early 2000s!
Kuanzia Barabara 13,Aict Shinyanga,Kijitonyama Upendo Group,Na N.k!
Naoma Tubadlshane Audios,Videos na Picha Waimbaji wa Zamani!
Old is Gold!
Ule wimbo wa habari ya Elisha alipo kwenda mto Yordan kukata miti na watumishi, mara shoka la mtumishi likazama na elisha akatupa kijiti shoka shoka lika elea.. Mwenye kuujua huu wimbo wapendwa ni kwaya ya mwaka kama 2006-2008 hapo
 
Back
Top Bottom