Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naioth Prophetic Singers!
Unangoja Nini!?
Furaha gani -St james choir Arusha
Sjui kama ulisha tumwa lakini naukubali sana pia
Nishakuwekea Albamu Nzima Mkuu,cheki hapo juu!Kuna Nkinga choir,Mzungu four, kitambo. kuna wimbo ule wa mchakamchaka mkimbilie Yesu nautafuta.
Eeh baba-KijitonyamaEeee baba kama si wewe ningekua wapi wa KIJITONYAMA mwenye nao anisaidie
Eeh baba-Kijitonyama
Ahsante mkuuNashukuru sana brother nimebarikiwa kwakweli
Asante mkuuNishakuwekea Albamu Nzima Mkuu,cheki hapo juu!
Kweli kabisa zilikua zina ujumbe mzito kuliko vinanda na magitaa...nyimbo za siku hiz magitaa na vinanda vimemeza ujumbeAhsante mkuu
Hizi nyimbo zina nikumbushaga mbalo sana
Kipindi nyimbo za gospo zilikiwa gospo kweli, na ndio maana zinadumu mioyoni mwa watu miaka na miaka
AaahKweli kabisa zilikua zina ujumbe mzito kuliko vinanda na magitaa...nyimbo za siku hiz magitaa na vinanda vimemeza ujumbe
Huwezi ku upload kupitia jamii app, itabidi ulog in kupitia Web browser then upload wimbo.Na ku-upload nyimbo hapa inakuwaje maana nimetafuta sijaona kila nikiweka kwa kutumia attachment option inakuwa ipo faint na nafikiri ni kwa ajili ya docs.
Tumia Web browser mkuu kama Google Chrome, Firefox au opera mini. Jamii app haikubali kufanya upload ya audio, videos.Nielekezeni jinsi ya kuiapload nyimbo humu hizo za zamani ninazo Ila sijui zinawekwaje humu
Huo wimbo unakumbusha wanadamu wote kuwa kuna "kufa" na kuna "Hukumu" na kila mtu atasimama peke yake siku hiyo.Ingawa mimi sio muumini wa kikristo, lakini wimbo huu unaendana na maagizo ya dini ni nayo iamini, ndio maana ninaupenda