mkuu nazihitaji sana.Emali town choir Mombasa na mwingine Imani yake Petero wanajua sana wale ninazo mkuu incase unazihitaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu nazihitaji sana.Emali town choir Mombasa na mwingine Imani yake Petero wanajua sana wale ninazo mkuu incase unazihitaji
kwaya gani iyo!mwenye nyimbo za kwenye album ya Rafiki pesa anisaidie aise
Sikumbuki jina ila muimbaji ni mkenyakwaya gani iyo!
Asante sana Mkuu! Huwa naupenda sana huu wimbo! Hii kwaya waliitangaza injili kwa kutumia maandiko! UbarikiweUlyankulu mkubwa mmoja
angalia posts za nyuma,nilishaiweka!Lakini mkuu bado hujatuma huo wimbo wa mchakamchaka
Mimi kwa mara ya mwisho niliisikiliza hiyo nikiwa O level, nadhani kati ya mwaka 1994 au 1995...miaka zaidi ya 20 imepita na sijapata hata wimbo mmoja nikumbushie.Aisee mtumishi ukiparaphrase hivi moyo unaumia sababu sina hizi nilipotezaga tape zake 1998 natafuta kweli hata kariakoo kwa ignasi sijazipata mwenye nazo anipe hata kuniuzia
Hizi ziliimbwa na Shari Martin, mara nyingi akishirikiana na Tana River Gospel Singers. Ni waimbaji wa Kenyakwaya gani iyo!
asante,mkuu!Hizi ziliimbwa na Shari Martin, mara nyingi akishirikiana na Tana River Gospel Singers. Ni waimbaji wa Kenya
Pia utakuta nyimbo kama:
Tangazo la Ajabu
Nina Amani
Christmas
A child is born
It's only you
Rafiki pesa
Jina la Yesu
Mistari michache
Tangazo la Ajabu:
(Nina tangazo la ajabu,
kwa watu wa dunia tahadhari)x2
(Ni Wakorintho wa pili,
Mlango ni wa sita fungu la pili)x2
Linasema Huu ndio wakati
wa kuokoka
mimi ndimi njia kweli na uzima
mtu haji kwa baba ila ni kwa njia ya mimi...
Jina La Yesu:
Jina la Yesu, libarikiwe
Jina la Yesu lihimidiweee
Jina la Yesu, lipewe sifa,
Jina la Yesu liheshimiwe sana
...
Yesu chomboni, na wanafunzi wake
Yesu kalala, bahari ikachafuka
BWANA twazama, Yesu tuokoe
Yesu katuliza dhoruba na bahari
Kumbuka Yesu katenda mengi,
Mapepo kafukuza na wafu akafufua
Mitume nao kwa jina lake
walifanya mengi jina la Yesu halichakai
Mwone Petro naye Yohana
Sinagogini, na yule kiwete
Hatuna fedha wala dhahabu
kwa jina la Yesu INUKA, naye kainukaa
Jina la Yesu, libarikiweee
Jina la Yesu lihim...
1995 ulikuwa o level?dah!hongera mkuu!Mimi kwa mara ya mwisho niliisikiliza hiyo nikiwa O level, nadhani kati ya mwaka 1994 au 1995...miaka zaidi ya 20 imepita na sijapata hata wimbo mmoja nikumbushie.
Huo ndio mwaka niliomaliza form IV1995 ulikuwa o level?dah!hongera mkuu!
Furaha gani -St james choir Arusha
Sjui kama ulisha tumwa lakini naukubali sana pia
Huu hapa?Naomben ya munishi "nataka mapatanooooo oooh nataka mapatanooooo eeeeh.
Huu hapa?
Hapa ilikuwa live performance