Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeona niweke uzi huu uwe maalumu kwa ajili ya matukio yote ya uchukuaji na urejeshaji wa Fomu za Ubunge kupitia CCM Katika Majimbo yote Tanzania Bara.
Hii itasaidia kufahamu nani na nani wamechukua Fomu sehemu Fulani. Lakini pia baadaye kutakuwepo na Uzi wa Majina yote yatakayopata nafasi ya Uteuzi kwa ajili ya kwenda kuomba kura kwa wajumbe . Hapa namaanisha yale Majina Matatu kwa kila jimbo kama itakavyokuwa imependekezwa na vikao vya maamuzi vya CCM kwa Mujibu wa katiba ,kanuni ,taratibu na miongozo ya chama.
Lakini pia kwa kuwa hili ni jukwaa kubwa na lenye watu wa kila aina kutoka maeneo mbalimbali Nchini. Inaweza pia kusaidia na kutoa fursa kwa wadau humu jukwaani kutoa maoni yao ya juu ya nani wangependa ,kutamani na kuona anafaa kupendekezwa na hatimaye kupewa nafasi ya kupeperusha bendera ya chama cha Mapinduzi kuwawakilisha wananchi wa jimbo fulani na kutoa mchango wake kwa Taifa letu kwa ujumla wake.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.