Mimi naendelea kumuunga mkono Rais Samia na Kumtafutia kura za ndio.Chukua fomu na wewe, ndicho anachomaanisha
Ubunge siyo biashara bali ni utumishi kwa watuMheshimiwa Rais naona hapa kacheza kama Pele, wabunge wanaenda kuchukua fomu bila mafao mkononi kupunguza viburi vyaa baadhi yao. Ingependeza hasingetoa mafao mpaka baada ya kula za maoni,.
Ondoa ujinga wako hapa weweLipo jambo litatokea nchi hii watu wote tutasema shikamoo Roho mtakatifu.