Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Wakuu nafasi zimetoka 500 kwa bachelor na diploma naomba Uzi huu uwe maalumu kupeana abc za taratibu za kuomba ajira nk
Mmmh hata sijajua, kwani imepiga course Gani kaka mkubwa?Dah !! All the best wengine kozi zetu hazijatajwaa.
Hivi hawa jamaa kozi huwa wanapigia wapi?
Njia moja wapo ya kupunguza wapambeNaona jamaa wanataka hati cheti cha darasa la saba
Bora wewe kaka mimi nimesoma bachelor of gender and DevelopmentKozi moja hivi ya kipimbi
bachelor of science in physics
hiyo kozi ndugu yako akienda kusoma mkataze bora abaki nyumbani
Hahhaha nomaNjia moja wapo ya kupunguza wapambe
Sio poa mkuu.Bora wewe kaka mimi nimesoma bachelor of gender and Development
Jau sana mwanangu sijui ndio tunaingia kwenye community development sijui Yani jau sana tulikosa Guidance ya kuchagua course
Sahihi kaka haina nenoSio poa mkuu.
Wewe kama umri unaruhusu omba.
Me umri ushanitupa naitafuta floor ya tatu hapa
Wanapita CCP moshiDah !! All the best wengine kozi zetu hazijatajwaa.
Hivi hawa jamaa kozi huwa wanapigia wapi?
Umri pia shwaaa
Kozi miezi mingapi?Wanapita CCP moshi
UmriNjia moja wapo ya kupunguza wapambe
Kazi za takukuru ndivyo zilivyo.Naona jamaa wanataka hati cheti cha darasa la saba
Wewe unataka ajira na unapima muda wa kufundishwaKozi miezi mingapi?
Hahahaha nomaWewe unataka ajira na unapima muda wa kufundishwa
Akili yako inawahi sana kujudge, watu wakiuliza muda wa kozi hawamaanishi wote wanataka hiyo kazi.Wewe unataka ajira na unapima muda wa kufundishwa
Wewe kama umri unaruhusu omba.Bora wewe kaka mimi nimesoma bachelor of gender and Development
Jau sana mwanangu sijui ndio tunaingia kwenye community development sijui Yani jau sana tulikosa Guidance ya kuchagua course