Uzi Maalumu kwa Wahenga wa JamiiForums

Mweee babu Asprin umemsahauje? Ona sasa kaenda kosea pa kuchungulia jina lake lilipo
View attachment 646537

Hajakose bhana, huyu Asprin ndiyo ilikuwa kazi yake mahsusi humu; kukagua ile kitu kwa member yeyote mpya hasa wa jinsia ileee! Sina uhakika kama amestaafu kweli! [emoji23][emoji23][emoji124][emoji124]
 
Mmmmmh kumbe.. basi itabidi uanze kuniamkia kijana mwenzako.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Nichagulie salamu nzuri unayoipenda niwe naitumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…