Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Kule kulinishinda ujue!!! Nilijikuta nadata sababu ya Kule, waweza ongea mwenyewe njiani.... Nikaona ya nini yote hayoo, kuna maisha zaidi ya kule nkalala mbeleeeSubiri maswali tosha kuhusu ID yako ya zamani ilikuwa ipi ili wafukue makaburi. Basi nawe ni muhenga pamoja na kule jukwaa la kuudhi kuingia mara moja moja.