Uzi maalumu kwa wakulungwa (UWABATA)

Nasikia T-shirts za Uwabata zimetoka ni kweli wadau ? nina jero nataka nipate moja .
 
Mwenyekiti wa UWABATA hapa JF ni Kaka madenge katibu nikiwa Mnyatiaji
Naam ndugu katibu na majukumu tunayatekeleza vyema kabisa.
Pia tulishasema mchumba hasomeshwi kwani wewe sio baba yake.
Marufuku kusikiliza nyimbo za zuchu
Kuhonga mwisho 150 hiyo pesa nyingine kanunue bati au tofali.
Msichana akikuchekea chekea ujue anakuomba ela kwahiyo nyamaza na umpigie katibu mkuu Mnyatiaji aje kukuokoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…