Uzi maalumu kwa wakulungwa (UWABATA)

Uzi maalumu kwa wakulungwa (UWABATA)

Naam ndugu katibu na majukumu tunayatekeleza vyema kabisa.
Pia tulishasema mchumba hasomeshwi kwani wewe sio baba yake.
Marufuku kusikiliza nyimbo za zuchu
Kuhonga mwisho 150 hiyo pesa nyingine kanunue bati au tofali.
Msichana akikuchekea chekea ujue anakuomba ela kwahiyo nyamaza na umpigie katibu mkuu Mnyatiaji aje kukuokoa
Timu ya uokozi ipo vizuri ila gari nimepeleka gereji kuna ela naiskilizia ili niifate
 
Naam ndugu katibu na majukumu tunayatekeleza vyema kabisa.
Pia tulishasema mchumba hasomeshwi kwani wewe sio baba yake.
Marufuku kusikiliza nyimbo za zuchu
Kuhonga mwisho 150 hiyo pesa nyingine kanunue bati au tofali.
Msichana akikuchekea chekea ujue anakuomba ela kwahiyo nyamaza na umpigie katibu mkuu Mnyatiaji aje kukuokoa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yakutolea tulishakubaliana haipo
 
Nahakikisha imeisha yoote
FB_IMG_1615280983958.jpg
 
True.
Binafsi uwa na tabia ya kusachi mikoba kama akitoka au kwenda msalani.
Nikikutana na noti,my friend uwa siziachagi,litakalokuwa na liwe.
Unachukua elfu 20 halafu unampa wakati anaondoka atahesabia mbele ya safari 🙂 🙂
 
Naam ndugu katibu na majukumu tunayatekeleza vyema kabisa.
Pia tulishasema mchumba hasomeshwi kwani wewe sio baba yake.
Marufuku kusikiliza nyimbo za zuchu
Kuhonga mwisho 150 hiyo pesa nyingine kanunue bati au tofali.
Msichana akikuchekea chekea ujue anakuomba ela kwahiyo nyamaza na umpigie katibu mkuu Mnyatiaji aje kukuokoa
Fedha halali kwa malipo so jero ? sasa imekuwaje mpaka kufika 150
 
Jamani mwenyekiti wa UBAWATA kanda za nyanda za juu kusini ndipo nafika leo makao makuu ya kanda yetu ili kuyaanza majukumu ya chama chetu tangu nichaguliwe na wanachama wenzangu.

Kiukweli nimetembea siku tatu kwa mguu toka mbeya hadi sumbawanga. Nashukuru kiporo nilichokuwa nimekibeba toka mbeya hadi sumbawanga ndicho nakipasha saizi ili kukimalizia. Maji nilikuwa nachota kwenye mito niliyokutana nayo njiani.
Kesho naingia ofsini rasmi. Mniombee😁
 
Back
Top Bottom