Ebu ngoja nikusogelee kiaina kwanza kabla sijakuja Pale Mwembeni (PM), maana usije ukawa wewe ni huyu ajuza ninae muona hapa..... tehteehhh[emoji23] [emoji23] exactly ...tena napendaga kukaa mwenyew
Unazingua wewe, haupo waswanuMhhhhh.....[emoji45] [emoji45]
Au wewe ndie yule mdada namuona pekeyake pale amekaa karibu na counter ya jikoni...[emoji15] [emoji15]
Nani anakuhudumia nimwambie akuongeze?Marry,Pendo?Vicky?Lucy?Karibu Sana mkuu, ukuje upige hata kitoti moja... tehteehhh
Bado iko mkuu, pale wanamwaga mizigo kuanzia saa kumi za jioni hadi nyakati za machweo kamakawaidalile soko pale pemben ya nyerere square kwa mitoko mikali...na yule kaka anauzia wanafunzi coz work,tght,tip,shifoni
Demiss unapajua hapa fika maeneo hayo kwa pamba kali
chako ni chakoUmesahau kutaja sehem yetu sisi madomo zege tunaenda wapi kupata malaya
Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)[emoji120] kipenzi
usije nikimbia lkn kama ulivyomkimbia yule mkaka maana ndo zako
AsanteeeSwali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)
Naomba kuwasilisha....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ndio nimetoka hapo kama dakika 5 zilizopita mkuuUnazingua wewe, haupo waswanu
Mkuu unachekecha!Ndio nimetoka hapo kama dakika 5 zilizopita mkuu
Nilichukua Bombadia hapo kaunta, then nikawa napiga mziki kwa Bluetooth nikiwa hapo counter nimesimama upande wa kona kuelekea chooni.... Baada ya jamaa flani kuja na wakataka kubadili kutoka Reggae to HipHop, ndipo nikaamua kuhamia kule kwa kibandaNani anakuhudumia nimwambie akuongeze?Marry,Pendo?Vicky?Lucy?
Haina noma MkuuNilichukua Bimbadia hapo kaunta, then nikawa napiga mziki kwa Bluetooth nikiwa hapo counter nimesimama upande wa kona kuelekea chooni.... Baada ya jamaa flani kuja na wakataka kubadili kutoka Reggae to HipHop, ndipo nikaamua kuhamia kule kwa kibanda
Watu na machimbo yenu.... tehteehhhchako ni chako
Duhhh....[emoji45] [emoji45] [emoji45]Mkuu unachekecha!
[emoji3] [emoji3]Watu na machimbo yenu.... tehteehhh
Pamoja mkuuHaina noma Mkuu