xtaper
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 3,319
- 4,701
Maeneo nyeti kufanyaje? Kuswali au?Nidadavulie maeneo nyeti pale Kondoa, nahamia kikazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maeneo nyeti kufanyaje? Kuswali au?Nidadavulie maeneo nyeti pale Kondoa, nahamia kikazi.
Sehemu za kujiburudishaMaeneo nyeti kufanyaje? Kuswali au?
Haha kuna baa na sehem za starehe chache sana lodge ndio nyingi tu labda utafte dem wa kitaa ndio awe anakuburudishaSehemu za kujiburudisha
Hahaha sawa mkuuHaha kuna baa na sehem za starehe chache sana lodge ndio nyingi tu labda utafte dem wa kitaa ndio awe anakuburudisha
Hahah pale eneo la magereza huwa nakojoaga sana paleKaribuni sana wageni !
Mimi Niko hapa karibu na hospitali ya Milembe upande wa juu huku nauza majeneza
Mwenyekiti,nakuomba pm tuzungumze![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
msambwanda... tuna pishana sana mwenyekiti... jiji hili hili...What
Mkuu niaje,samahanini jana niliwaangusha nilishindwa kufika mapema,nilikua nipo na ratiba zingine,mawazo yangu yote ilikua ni jumapili ijayoNdugu zangu Leo wapi kuna ahueni maana jumatatu zinakuwaga za moto
Wapi mkuu? Halafu nlikuta msg pm inbox sikuielewa mi mlivobadirisha siku mwenyew nkawa na ratiba zang mbonaMkuu niaje,samahanini jana niliwaangusha nilishindwa kufika mapema,nilikua nipo na ratiba zingine,mawazo yangu yote ilikua ni jumapili ijayo
Hiyoo msg ilikua wakati ule Demiss anasema mpo hapo ndio nikakutext kuconfirm!Wapi mkuu? Halafu nlikuta msg pm inbox sikuielewa mi mlivobadirisha siku mwenyew nkawa na ratiba zang mbona
Huyo demiss alikupanga mi sijaonana nae alikuzngua lbd au alikuwa alone au na mwngne sio mmHiyoo msg ilikua wakati ule Demiss anasema mpo hapo ndio nikakutext kuconfirm!
Nilijua ni jumapili ijayo ndio makubaliano tulifikia hapa,nikawa nipo kwenye ratiba nyingine nikashindwa kufika kwa wakat
Oky pouwa!nimekuelewa!basi alikua anazingua Demiss!Huyo demiss alikupanga mi sijaonana nae alikuzngua lbd au alikuwa alone au na mwngne sio mm