Uzi maalumu kwa Wana JamiiForums wanaohamia na kuishi Dodoma!

Karibuni sana wageni !
Mimi Niko hapa karibu na hospitali ya Milembe upande wa juu huku nauza majeneza
 
Mkuu niaje,samahanini jana niliwaangusha nilishindwa kufika mapema,nilikua nipo na ratiba zingine,mawazo yangu yote ilikua ni jumapili ijayo
Wapi mkuu? Halafu nlikuta msg pm inbox sikuielewa mi mlivobadirisha siku mwenyew nkawa na ratiba zang mbona
 
Hiyoo msg ilikua wakati ule Demiss anasema mpo hapo ndio nikakutext kuconfirm!

Nilijua ni jumapili ijayo ndio makubaliano tulifikia hapa,nikawa nipo kwenye ratiba nyingine nikashindwa kufika kwa wakat
 
Huyo demiss alikupanga mi sijaonana nae alikuzngua lbd au alikuwa alone au na mwngne sio mm
 
Back
Top Bottom