Uzi maalumu kwa wanaotaka kuoa na kuolewa

Uzi maalumu kwa wanaotaka kuoa na kuolewa

Ndoa ni kitu chema sana.... Utakutana na kero mbali mbali ndoani, mitego ya uchupukaji, wivu, kuishiwa ki uchumi nk lakini usirudi nyuma. Unatakiwa kuwa mtu wa kusamehe sana na kuchukulia poa ili mdumu, pia kuwajibika kwa nafasi yako kimahaba maana huwezi vuna usichopanda
 
Ndoa hapana Kwa kweli,nataka kuishi na mwanaume tu Mpaka kaburini
FB_IMG_16619809746310335.jpg
 
Back
Top Bottom