Uzi maalumu kwa wanaotaka kuoa na kuolewa

Uzi maalumu kwa wanaotaka kuoa na kuolewa

Ndoa ni kitu chema sana.... Utakutana na kero mbali mbali ndoani, mitego ya uchupukaji, wivu, kuishiwa ki uchumi nk lakini usirudi nyuma. Unatakiwa kuwa mtu wa kusamehe sana na kuchukulia poa ili mdumu, pia kuwajibika kwa nafasi yako kimahaba maana huwezi vuna usichopanda
[emoji419]

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nataka kuoa kama nitapata muha au msukuma anayejitambua wa kijijini kabisa! Kama kuna mtu ana connection ya vijijini naomba msaada
 
Tunaotafuta free K tunaweza kupata msaada hapa?
Ngoja tukaanzishe uzi wetu bwana. Tuachane na hawa wakuoana🤣🤣🤣
Sipe suggeation ya title ya uzi wetu basi.
"Wanataka kulana kimasihara"
How does that sound?

Ama " the tripple F club"
 
NATAFUTA MDADA MATURED KUANZIA MIAKA 30 NA KUENDELEA KWA AJILI YA NDOA .Mwenye uhitaji kama wangu ani PM tuyajenge
 
Me ni me nataka ke asiye singo maza miaka kuanzia 30-34 au below mwajiriwa serikarini
Mm nina 37yrs si a mtoto
Mim ni tall slim slim maji ya kunde
 
Ndoa ndo kipimo Cha akili kma hujaoa ujue Bado 😂😂😂
 
Me ni me nataka ke asiye singo maza miaka kuanzia 30-34 au below mwajiriwa serikarini
Mm nina 37yrs si a mtoto
Mim ni tall slim slim maji ya kunde
Sasa mzeya unakaribia forty unataka kuoa ili iweje
 
Back
Top Bottom