Uzi maalumu kwa wanaotaka kuoa na kuolewa

Ndoa ni kitu chema sana.... Utakutana na kero mbali mbali ndoani, mitego ya uchupukaji, wivu, kuishiwa ki uchumi nk lakini usirudi nyuma. Unatakiwa kuwa mtu wa kusamehe sana na kuchukulia poa ili mdumu, pia kuwajibika kwa nafasi yako kimahaba maana huwezi vuna usichopanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…