James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
[emoji419]Ndoa ni kitu chema sana.... Utakutana na kero mbali mbali ndoani, mitego ya uchupukaji, wivu, kuishiwa ki uchumi nk lakini usirudi nyuma. Unatakiwa kuwa mtu wa kusamehe sana na kuchukulia poa ili mdumu, pia kuwajibika kwa nafasi yako kimahaba maana huwezi vuna usichopanda
Atapewa talaka ya kwenda KWA wazazi wake[emoji1787][emoji1787]Ngoja nimwambie mama success apunguze kipimo hahaaa
Nahisi kuanza kukupenda mama watoto please tuwasiliane nje ya hapa tuyajenge ya Mungu mengi huwezi kujuaWe,mambo yangu huishia hapahapa public mkuu[emoji12]
Jesuuuu!!!Nahisi kuanza kukupenda mama watoto please tuwasiliane nje ya hapa tuyajenge ya Mungu mengi huwezi kujua
Embu subiri kidogo naingia pm....yaan hii ngoma inajileta yenyewe π€Έπ€Έπ€ΈNahisi kuanza kukupenda mama watoto please tuwasiliane nje ya hapa tuyajenge ya Mungu mengi huwezi kujua
Ngoja tukaanzishe uzi wetu bwana. Tuachane na hawa wakuoanaπ€£π€£π€£Tunaotafuta free K tunaweza kupata msaada hapa?
Sa mbona sina habariNaanzaje kwa mfano, ndoa si na wewe ama ushanitosa[emoji23][emoji23]
Basi nakujulisha wakati huuSa mbona sina habari
Tulyeghe,tunweghe,tun'olaneghe papo pakisu tukukinda...Tulinkisu kalumbu
Na kama hujaolewa tusemejeπ€π€π€Ndoa ndo kipimo Cha akili kma hujaoa ujue Bado πππ
Sasa mzeya unakaribia forty unataka kuoa ili iwejeMe ni me nataka ke asiye singo maza miaka kuanzia 30-34 au below mwajiriwa serikarini
Mm nina 37yrs si a mtoto
Mim ni tall slim slim maji ya kunde
Momumo ghwanguTulyeghe,tunweghe,tun'olaneghe papo pakisu tukukinda...
Kwahiyo asiishi na mtuSasa mzeya unakaribia forty unataka kuoa ili iweje