Uzi maalumu kwa watoto wa kishua na matajiri

Roca fella

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2023
Posts
2,077
Reaction score
4,152
Habari za muda mrefu ndugu Wana familia wa jamii forums.
Screenshot_20240721-142246_(1)_(1).png

lengo la kuanzisha huu Uzi ni kukutanisha watoto wa kishua na watu wenye uwezo kiuchumi " matajiri " kwa ajili ya kubadilishana mawazo hapa na pale, tunaweza kujenga umoja na ushirikiano ikiwa ni pamoja na kutumia vyema mtandao huu kwa mawasiliano mazuri . Karibu ndugu Wana familia tuungane pamoja matajiri au watoto wa matajiri.

Screenshot_20240721-142814_(1).png
 
how are u'r wewe kijana uri retereza huu uzi?

Naitwa Mr.Rweyemamu Muganyizi.
kwa sasa nimekuja New York kunyoa nywere zangu.

hii mada nimeipenda ngoja nimtag kijana wangu Rutashobya ambae kwa sasa yupo Havard akimarizia shahada yake ya kwanza.

welcome kijana wangu Ruta.
Nyie wahaya mnapenda Sana attention 😃😃😃
 
Habari za muda mrefu ndugu Wana familia wa jamii forums.
View attachment 3048191

lengo la kuanzisha huu Uzi ni kukutanisha watoto wa kishua na watu wenye uwezo kiuchumi " matajiri " kwa ajili ya kubadilishana mawazo hapa na pale, tunaweza kujenga umoja na ushirikiano ikiwa ni pamoja na kutumia vyema mtandao huu kwa mawasiliano mazuri . Karibu ndugu Wana familia tuungane pamoja matajiri au watoto wa matajiri.

View attachment 3048193
Wakati unataka connection na hao watoto wa kishua wewe unaleta dili gani mezani?

Kuna dogo mmoja hivi alishawahi kunilalamikia hapati namba uwanjani anapoenda kucheza mpira, nikamwambia ilo tatizo dogo sana tutali-solve, kesho yake asubuhi nikaenda naenda nae kwenye dula la vifaa vya michezo nikamnunulia mpira, jioni yake akaenda nao uwanjani.

Unajua nini? tangu siku iyo hakuwahi kukosa namba kwa sababu yeye ndio mmiliki wa mpira ukimweka benchi anasepa na mpira wake hakuna mechi tena hapo.

Life is win-win mzee baba, kabla ya kutaka kukaa mezani na hao watoto wa kishua wewe una dili gani mkononi?
 
Habari za muda mrefu ndugu Wana familia wa jamii forums.
View attachment 3048191

lengo la kuanzisha huu Uzi ni kukutanisha watoto wa kishua na watu wenye uwezo kiuchumi " matajiri " kwa ajili ya kubadilishana mawazo hapa na pale, tunaweza kujenga umoja na ushirikiano ikiwa ni pamoja na kutumia vyema mtandao huu kwa mawasiliano mazuri . Karibu ndugu Wana familia tuungane pamoja matajiri au watoto wa matajiri.

View attachment 3048193
ko sisi kajamba huzi wako hautuhusu?
 
Back
Top Bottom