Uzi maalumu kwa watoto wa kishua na matajiri

Uzi maalumu kwa watoto wa kishua na matajiri

Habari za muda mrefu ndugu Wana familia wa jamii forums.
View attachment 3048191

lengo la kuanzisha huu Uzi ni kukutanisha watoto wa kishua na watu wenye uwezo kiuchumi " matajiri " kwa ajili ya kubadilishana mawazo hapa na pale, tunaweza kujenga umoja na ushirikiano ikiwa ni pamoja na kutumia vyema mtandao huu kwa mawasiliano mazuri . Karibu ndugu Wana familia tuungane pamoja matajiri au watoto wa matajiri.

View attachment 3048193
Naelekea bank kuchukua bilioni tatu,baba ameninunulia nyumba masaki
 
Tumia utajiri wa wazazi wako kutengeneza utajiri wako mkuu .hata wazazi wako watakuheshimu na kukusapoti.
Kuna dogo msure wake yupo vizuri ila baghili balaa dogo akaona amuibie 30m akasepa zake tunduma akafungua kipub huko kikaendelea kwa sasa ni bar na lodge .
Akarudi after 2 years akamletea mzee wake 30 m aliyomuibia mzee wake akaamua kumsamehe akamwambia aendelee kuizungusha
 
Back
Top Bottom