Uzi maalumu kwa watoto wa kishua na matajiri

Uzi maalumu kwa watoto wa kishua na matajiri

🤣🤣🤣Mie nimejitutumua mpaka mwanzisha thread kaduwaa🥴
itakuwa weye wa kishuaa.. eeeh.. mie natafuta hela mtoto wangu aje kuwa wa kishua ile mbayaa.. na hivi atakuwa mtoto mmoyaaa atafaidi sana
 
Tumia utajiri wa wazazi wako kutengeneza utajiri wako mkuu .hata wazazi wako watakuheshimu na kukusapoti.
Kuna dogo msure wake yupo vizuri ila baghili balaa dogo akaona amuibie 30m akasepa zake tunduma akafungua kipub huko kikaendelea kwa sasa ni bar na lodge .
Akarudi after 2 years akamletea mzee wake 30 m aliyomuibia mzee wake akaamua kumsamehe akamwambia aendelee kuizungusha
Yuko clever na ana muono wa mbali akaona kuliko aendelee kujimwambafy na mali za mzee ni bora aanzishe za kwake
 
Back
Top Bottom