Uzi maalumu kwa watoto wa kishua na matajiri

Roca fella

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2023
Posts
2,077
Reaction score
4,152
Habari za muda mrefu ndugu Wana familia wa jamii forums.


lengo la kuanzisha huu Uzi ni kukutanisha watoto wa kishua na watu wenye uwezo kiuchumi " matajiri " kwa ajili ya kubadilishana mawazo hapa na pale, tunaweza kujenga umoja na ushirikiano ikiwa ni pamoja na kutumia vyema mtandao huu kwa mawasiliano mazuri . Karibu ndugu Wana familia tuungane pamoja matajiri au watoto wa matajiri.

 
Nyie wahaya mnapenda Sana attention πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Wakati unataka connection na hao watoto wa kishua wewe unaleta dili gani mezani?

Kuna dogo mmoja hivi alishawahi kunilalamikia hapati namba uwanjani anapoenda kucheza mpira, nikamwambia ilo tatizo dogo sana tutali-solve, kesho yake asubuhi nikaenda naenda nae kwenye dula la vifaa vya michezo nikamnunulia mpira, jioni yake akaenda nao uwanjani.

Unajua nini? tangu siku iyo hakuwahi kukosa namba kwa sababu yeye ndio mmiliki wa mpira ukimweka benchi anasepa na mpira wake hakuna mechi tena hapo.

Life is win-win mzee baba, kabla ya kutaka kukaa mezani na hao watoto wa kishua wewe una dili gani mkononi?
 
ko sisi kajamba huzi wako hautuhusu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…