Witch hunter
JF-Expert Member
- Nov 21, 2018
- 2,106
- 5,806
Unaweza share experience yako kama hutojalinipo hapa
Nilipima baada ya kumtilia shaka manzi Angu kuwa huenda anajiuza kwa watu wa mgodLoh...hii ngumu kumeza. Wachache wana guts.
Mkuu nikuulize, nini kilichochea wewe kupima?
Akhsante sana mdogo Angu🙏🙏🙏 ila sijaanzisha kwa ajili ya kupewa pole na hongera, ni kushare tu experience, au jf hakuna wenye VVUMkuu pole na hongera!
Tupatie uzoefu wako mkuuTunaupitia huu uzi kimya kimya kama mwendo wakuaga maiti. respect Grid
Najijua nitaanza kulia tu, 😭😭😭 Naomba Dj anisindikize na kibao cha Captain komba Cha mgeniTupatie uzoefu wako mkuu
Damn! Una ujasiri, hongera.Nilipima baada ya kumtilia shaka manzi Angu kuwa huenda anajiuza kwa watu wa mgod
Kupata joto sana, haswa nyakati za usikuMimi nataka kujua mpaka unatakiwa kupima ulikuwa unajisikiaje? Zipi dalili za mwanzo.
NB
Wanaume asilimia kubwa ni wagonjwa tarajiwa.
🙏🙏🙏akhsanteDamn! Una ujasiri, hongera.
Acha kabisaaa, huu ugonjwa shida yake ni kumeza dawa kila siku duh!!!Daah aisee hongera kwa kujitambua.
Mimi mara ya mwisho nilipima 2021, nilikua -ve.
Ila migodini naskia ni habari nyingine kabisa.
Sasa mmefata nini kwenye huu Uzi?Pole sana ndugu, humu jf mwenye UKIMWI ni wewe tu. sisi members wengine tumetoka kupima hivi karibuni kila mmoja yuko -ve.
NmeishaaKupata joto sana, haswa nyakati za usiku
Kichwa kuuma kidogo kidogo japo mara kwa mara
Kukohoa kikohozi kikavu pia kinazidi nyakati za usiku
Homa za mara kwa mara
Kupungua uzito
Kuna mda nywere zinakuwa kama umewekea dawa zile za wanawake.....