Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu hajawahi ponya ukimwi, ni kutumia dawa, kula mlo kamili na kumuomba mungu for the afterlife kama ipoMUNGU ATAKUPONYA NDUGU YANGU ZIDI KUWA KARIBUNAMUNGU NA UWE NA IMAN
Ni baada ya muda gani ulianza kuhisi hizi dalili mkuu??Kupata joto sana, haswa nyakati za usiku
Kichwa kuuma kidogo kidogo japo mara kwa mara
Kukohoa kikohozi kikavu pia kinazidi nyakati za usiku
Homa za mara kwa mara
Kupungua uzito
Kuna mda nywere zinakuwa kama umewekea dawa zile za wanawake.....
Nakushauri, nenda zahanati au kituo cha afya karibu yako, Tambua afya yako.Ni baada ya muda gani ulianza kuhisi hizi dalili mkuu??
Shindwa. Jinenee nafsi yako!Mimi nataka kujua mpaka unatakiwa kupima ulikuwa unajisikiaje? Zipi dalili za mwanzo.
NB
Wanaume asilimia kubwa ni wagonjwa tarajiwa.
To play safe means kutumia condom, kuwa na mtu mmoja kwenye mahusiano.Mkuu unaonaje ukamtaja manzi ako jina kamili na marafiki zake, ili wajuba wajue namna ya kuplay safe
Mbona unakula chakula kila siku.Acha kabisaaa, huu ugonjwa shida yake ni kumeza dawa kila siku duh!!!
Hakika🙏Mbona unakula chakula kila siku.
Unapoenda kulala unakunywa dawa zako maisha yanaendelea.
Binafsi nawashukuru sana waliotengeneza RV na mamlaka zinazotoa hizo dawa kwa wahusika bure.
Bila hivyo lingekuwa janga la dunia.
Jibu swali.Nakushauri, nenda zahanati au kituo cha afya karibu yako, Tambua afya yako.
Kupata joto sana, haswa nyakati za usiku
Kichwa kuuma kidogo kidogo japo mara kwa mara
Kukohoa kikohozi kikavu pia kinazidi nyakati za usiku
Homa za mara kwa mara
Kupungua uzito
Kuna mda nywere zinakuwa kama umewekea dawa zile za wanawake.....
😀😀😀relax mkuu.Shindwa. Jinenee nafsi yako!
Mkuu, Dawa ni chungu au angalau kidogo zina uperemende ndani yake? Maana kunywa dawa asubuhi, mchana na jioni hii ratiba sijui inawezekanaje.Nakushauri, nenda zahanati au kituo cha afya karibu yako, Tambua afya yako.