Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Huu ugonjwa kama haujawahi kuuguza mtu wa karibu unaweza kuuchukulia kawaida,ndugu zangu tumuombe sana Mungu pia tutulie kwennye ndoa au mahusiano,nilishuhudia ndugu wawili waliteseka sana Mungu awalaze mahala pema peponi
 
Hizo tena dalili za kuumwa Ukimwi virusi vikiingia unaweza kupata kama homa za malaria mafua sababu kinga ya mwili inapambana kama mwezi kisha unakaa hata miaka 5-10 hujijui kisha dalili zinaanza kama ulizo taja hapo ndo maana siku hizi ukienda unaumwa homa unapimwa unaanzishiwa ARV nashukuru Mungu niko salama kila nikipimwa naogopa na siogopi labda mie Malaya naogopa mtu wangu nilonae kama anaruka ruka nje wake wengi tunaletewa na waume.
Kwanini General umesema mnaletewa na Wanaume umefanya Tafiti kuna Proof beyond reasonable doubt with data
 
Nachoka kueleza eleza sana.

Hujaelewa wapi bwana mkubwa!
Nimekuambia Ukimwi ni contact Ya damu kati ya mgonjwa na mzima umepinga nimekwambia elezea Ukimwi unatokeaje nje Ya hapo?
sababu virusi vinaishii kwenye damu
 
Kijana unatakiwa umakinike.

Tena nashukuru umeuleta huu uzi ili nikuokoe kwenye janga la ujinga na dhahama ya kifo inayokunyemelea kwa kukosa maarifa machache tu.

Hapa ninapoandika hii comment, ungechukua hizo ARV ukazitupa chooni mara moja as a matter of urgency.

Sijui kama nimetumia maneno magumu au mepesi, lakini sina budi kwa sababu ukiona mtu amepima UKIMWI na akaanza kubugia ARV kichwa changu kinaniambia huyo mtu ana wingu zito sana kichwani na anahitaji lugha nzito na msasa wenye makali kufuta yale mauji uji kichwani.

For the mean time, chukua hayo madonge katupe chooni.

Hii ni FIRST AID nakupa. An INTELLECTUAL FIRST AID.

AIONE KWENYE JALADA: dronedrake Extrovert Poor Brain NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
Akishatupa? Embu toa elimu tusikie maana dunia ina mengi na binafsi jambo lolote likishahusishaga pesa basi usibishe kwanza, lisikikilize. ARV ni pesa.
 
Kuna kaka mmoja tukipataga muda wa kuongea ananitania haya maswali

1. Luckyline hivi unavyo jitunza hivi wewe ni mwanamke wa aina gani?
2. Luckyline ni kwamba unaogopa wanaume au ni nini hasa?
3. Luckyline mbona mzuri tu au unabagua sana wanaume?
4. Sasa unavyojitunza hivi ikitokea ukapata mwanaume akakuambukiza ukimwi utafanya nini?

Jibu ni moja ninalompa, mimi nashukuru sikuzaliwa na ukimwi kama wengine wanavyoupata kwa kuzaliwa nao, sio kwamba naogopa wanaume mimi nina sababu.
Mungu mimi nimejinyima starehe zote za duniani, sijawahi fanya umalaya wa aina yeyote hapa duniani.

Kaka niliyempenda alipo niacha niliumia nililia nikajifungia ndani wiki mbili, nae sikuwahi fanya mapenzi nae bila kinga nae nishahidi hata akisoma hapa.

Maumivu yale niliyaugua miaka 2 na miezi 9, nikajaribu kwingine nae hatukufika mbali nilimuona sio muoaji, nae sikushiriki nae bila kinga.

Nikapata mwingine nakili ingawa nilimpenda kuliko wote ila sikuwahi kukutana nae live, siku napanga nimtembelee, nikagundua anaishi na mwanamke ndani ndo maana hakutaka nisafiri kwenda kwake.

In short sijawahi ingia mahusiano na mtu ambae naona hafai kuwa mme.

Wale wachache niliyo ingia nao mahusiano sijawahi kushiriki tendo bila kinga.
Kwa umri nilio nae nilitakiwa niwe na msululu wa wanaumwe nashukuru Mungu hata watano hawazidi na kati yao wengine hatukufika hiyo hatua.

Sio kwa mimi ni malaika au mwema hapana ninataka mwanaume wa kuishi nae, staki mwanaume wa kuniletea ukimwi na kuondoka.

Maisha yangu nimejinyima nimejihudummia mwenyewe, kipindi sina kazi niliangaika na biashara, hela niliyoipata nilijilipia kodi, wakati mwingine na mtaji unapungua dah, nilipitia kipindi kigumu, natongozwa naogopa kutoka out na mtu nikiogopa nikila pesa zake nalipa nini.
Kwangu ndani sina kitu chochote ambacho ni pesa ya mwanaume hakipo.

kalamu haiozi Mungu ni mwema kanipa kijikazi najihudumia sio kwamba staki kuhudumiwa, naogopa nikihudumiwa namlipa nini?
Maisha yangu yote niliishi nikiamini mm nitakuwa mke wa mtu na kamwe hili litatimia who know? May be soon!!

Wanaumwe wa siku hizi si waoaji akiona kama sisi ambao tunajitafutia basi anataka aje azalishe aondoke, staki hilo linitokee.
Point ni kwamba tamaa zimewaponza wadada kupata ukimwi, waume za watu wanatumia dozi linakupa hela linakuambukiza unaishi kwa stress.

Nina mifano mizuri marafiki zangu wengine ni wagonjwa nawaonea huruma.
Nimejitunza sana ukimwi siwezi kuunywa kwenye maji, huyo mwanaume nitakae ishi nae akiniambukiza ukimwi, hicho kisasi nitakachompa kitaumiza ukoo wake wote.
Maisha yangu yote nimejinyima starehe za mahusiano, kutendwa kumenifanya nichukie wanaume wa kiafrica.

Mungu naomba uendelee kunilinda usije nipa mwanaume akaniltea ukimwi, maana mimi siwezi kuutafuta hiyo haiwezekani mpaka hapa nilipofikia.

Mdada au mkaka utakae soma hapa, acha tamaa ukimwi ni mbaya, ingawabkuna magonjwa makali kuliko hata ukimwi, fanyan kazi pata hela zako usitegemee hela ya mtu, hela ya mtu ni majuto itakupeleka kaburini.

Umwa magonjwa mengine ila sio ukimwi wa kijitafutia.

Nyie wakaka usimuamini mwanamke kufanya nae mapenzi bila kinga, utakatisha ndoto zako, wanawake wenzangu wana tamaa, wanamiliki wanaume 4 kwa mkupuo, hamko salama kaka zangu.
Mungu wape faraja wote walio pata ukimwi kwa kuwaamini wenza wao.

Kaka dada linda sana afya yako vile vidonge vya kumeza sila siku vinatesa vinaweza kukuletea any side effect mbaya, mifano ninayo mingi sana.

N.b sitafuti mwanaume humu coz am done with african men, huu uzi umenigusa, maisha yangu niligopa mahusiano moja wapo ikiwa ni kuogopa kupata ukimwi na kunifanya single mom.

Hata hao wachache nilio ingia nao mahusiano wengine hatukufika mbali maana hawakutaka kinga nikajiondoa nashukuru wengine walikuwa ni waelewa.

Mungu ni mwaminifu nina historia ya kipekee ya mahusiano. Hizi starehe ni za hapa duniani bora niwe salama.

Dada kaka ishi ndoto zako ukimuomba Mungu.

dada fanye mazoezi kula vizuri, kunywa maji mengi, penda ngozi yako,punguza vitu vyenye sukari, jali mwili wako usizeeke mapema sawa?
Umewasilisha ujumbe mzuri sana wenye mashiko lakini umekosea baadhi ya sehemu kuwalaumu wanaume wa kiafrika kwa kuwalaani

Kwanini umekosea sababu unafanya blame shift

Nobody is responsible for your life ratherthan yourself

20240307_115315.jpg
 
Binafsi huu ugonjwa kamwe siwez upata...Narudia tena siwez upata..lakin kwa mlio nao sio ugonjwa wa kutisha kero kwenye kumeza dawa...usipate sukari...cancer au figo zifeli alafu dailisis ije...NB wagonjwa wote hapo nimeshawauguza kwa gharama zangu bila kuchangiwa au serikali kutia mchango wake....ikitokea nimecomment uzi wa mwana jamii forum yeyote tuheshimiane...na sio mwajiriwa mimi hata bima zenyewe kwenye hayo magonjwa zinadunda...nipo blw 33 years...na katika hao nilio wauguza mwenye ukimwi ndio yupo owk mpaka sasa tna na TB ilimpiga akawa wa kesho au masaa afariki..but ukimuona now...aisee kuwen makini
Huwezi kuupata kwani unaishi kwenye chungu na hutoki? Ajali ndogo tu ya bodaboda inakupa HIV ikitokea damu zimegusana.
 
Huwezi kuupata kwani unaishi kwenye chungu na hutoki? Ajali ndogo tu ya bodaboda inakupa HIV ikitokea damu zimegusana.
Tokea lin boda boda ikawa ni ajali ndogo
 
Nimekuambia Ukimwi ni contact Ya damu kati ya mgonjwa na mzima umepinga nimekwambia elezea Ukimwi unatokeaje nje Ya hapo?
sababu virusi vinaishii kwenye damu
Yes, virusi vinaishi kwenye damu.

Sio tu hicho kinachoitwa "HIV" lakini pia retroviruses wengine mamilioni kwa mamilioni wanaishi kwenye damu na maeneo mengine ya mwili.

Hawa virus ni vijidudu ambao wanapatikana kwenye kila mwili wa binadamu. Na nikienda mbele zaidi, nitakwambia kwamba, hawa wanaoitwa "vijidudu" au "virus" si haswa vijidudu au virus, ni uchafu wa kijenetiki tu unaotengenezwa na mwili. Genetic garbage/ protein garbage au uchafu mwingine tu ndani ya mwili.

Likewise, mwili wa binadamu umebeba mamilion ya bacteria na fungus ambao hawana madhara yoyote AS LONG AS mwili uko katika usafi unaotakiwa katika MIFUMO YAKE.

Usafi wa mwili ni pale ambapo mwili hauna matakataka na sumu au viambatasumu au maudenda udenda katika damu au pale ambapo ogani za mwili hazijaharibika au hazina dosari.

Mwili ukiwa katika hali safi na timamu, hakuna bacteria wala fungus atakayeleta fyoko.

Mwili unashambuliwa na wadudu au unadhurika endapo kuna sumu na uchafu katika mifumo yake, au pale ambapo mwili hauna viinilishe na virutubisho vinavyohitajika katika kujenga uimara wake.

HOMEWORK:-

1. Kwa kutumia msingi huo wa maelezo hapo juu, CHANGANUA NA CHAKATA nadharia ya HIV=AIDS.

2. Kwa kutumia msingi huo wa maelezo hapo juu, CHANGANUA NA CHAKATA nadharia ya SEX=HIV.
 
Akishatupa? Embu toa elimu tusikie maana dunia ina mengi na binafsi jambo lolote likishahusishaga pesa basi usibishe kwanza, lisikikilize. ARV ni pesa.
Kama umeshajua kwamba ARV ni pesa, basi tayari unaelewa nini nazungumza.

Shida hapa ni kwamba unatoa pesa na kuuza uhai.

Unalipa kodi, serikali inabeba kodi inaenda kununua madawa, unabugia madawa, unajishindilia masumu halafu unakufa kienyeji kama kuku wa kisasa.

You lose both ways. Money and life.
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Nimependa hii guts, kujitambua na kujikubali, wengi wetu hili huwa tatizo kubwa na ndio matokeo ya kufupisha saafr yetu ya maisha.

Mungu akubarik sana, hili ulilolifanya ni funzo kwa sisi wengine ambao hata kujua tu health status zetu ni mtihani mkubwa!
Kabisaaa💯💯💯
 
Amen 🙏🙏
Huu ugonjwa kama haujawahi kuuguza mtu wa karibu unaweza kuuchukulia kawaida,ndugu zangu tumuombe sana Mungu pia tutulie kwennye ndoa au mahusiano,nilishuhudia ndugu wawili waliteseka sana Mungu awalaze mahala pema peponi
 
Amen 🙏🙏
Huu ugonjwa kama haujawahi kuuguza mtu wa karibu unaweza kuuchukulia kawaida,ndugu zangu tumuombe sana Mungu pia tutulie kwennye ndoa au mahusiano,nilishuhudia ndugu wawili waliteseka sana Mungu awalaze mahala pema peponi
 
Back
Top Bottom