Trayvess Daniel
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 651
- 1,244
Nadhani hii kitu inatesa sana kisaikolojia na pia kumeza dawa kila siku is no joke ingawa nadhani overtime mtu unazoea sababu afya yako depends on those.....
Pili siku hizi kama una mzigo huhitaji kwenda clinic ya watu wengi ya kiserikali, hospitali kibao za private zina hii huduma hivyo siri inabaki yako na watoa huduma, hata ukutane na mtu hospitali hawezi dhani unaenda kuchukua dawa.
Mungu awape ujasiri wateja wote wa ARV kujikubali na kuishi njema tu bila kuwaambukiza watu wengine. NOBODY IS GOING TO MAKE IT OUT ALIVE
nawajua watu wanne wanagonga ARV
1 alianza nazo kipindi ndo zimeingia
1 ana muda mrefu nadhani zaidi ya 10 yrs
1 ana miaka 8/9 kama sikosei sababu alijua kipindi ana mimba
Na wa mwisho ana miaka zaidi ya mitatu, huyu alikataa dawa na aliishi vizuri tu for few years, lakini alipigwa na shambulio la aibu la fungus na TB mpaka akaanza dozi ukimuona wala huwezi mdhania kwamba kidogo aume shuka